Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii?

Rais wa Zanzibari chukua hatua
 
Tatizo ni urojo. Wawe wanakula vyakula vya kiumeni.
 
Back
Top Bottom