Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,710
- 54,583
Umenena Vyema!Mwambie rafiki yako hio ndio matokeo ya kuchagua mtu wa maana mnavyoitaga nyie😂!
Huwezi kupata vyote yani upate bwana mwenye hela halafu awe muaminifu? Hao ni 1 in a million ubahatike sana. Ukitaka mwenye hela ujiandae na ukewenza maana kila mwanamke anamlia timming ili mumeo ajiingize king aanze kuliwa hela zake.