Wanaume kiuhalisia kama nyumbani hawapati faraja basi hutafuta nje, lakini pia hulka ya mwanaume sio wa kuridhika na mke mmoja ni ngumu sana maana hata nikifa wanaotoa machozi wawe wengi kiasi cha kuulizana yule ni ndugu yetu pia??
Lakini huu mpango wa uzazi unaharibu sana hisia za wanawake na kumuandaa mwanamke anaetumia mpango wa uzazi hasa Sindano jamani kazi na bado utakutana na ukavu wa hatari huko kunako na ikumbukwe kama mwanamke anakosa utelezi kiukweli inakuwa kazi sana.
Wadada na wamama mpango wa uzazi bora ni kalenda ila hivyo vipandikizi, sindano na vidonge vinaharibu sana uanauke wenu. Nadhani wapo ambao watakubaliana na mimi