Wanaume wanaoharibu ndoa zao(wachepukaji)

True story
Wakati tunapiga story na jirani zang pia ni rafiki japo kiumr amenizid kidogo nikamsikia anasema" tunakaa kwenye nyumba nzuri vioo Safi tunamali lkn sikumoja usiku nyumba zetu zingeshushwa kuwe wazi mngeona watu tunavoishi unaweza ukasema afadhali mm kuliko yule"nafsi zetu pia zingekuwa wazi mngeona tunavoteseka
Umeandika hovyo hovyo bila mpangilio. Hariri halafu ilete tena tuisome hadithi yako hii.
 
Kama huwezi kumuacha mume mchepukaji ni bora ukae kimya, eti ametoka nae mbali..wapi? Kuzimu?
Mwanaume asiyechepuka atampata wapi? Apambane na hali yake
Kwaiyo unaamin wanaume wote ni wachepukaji?

Alaf Shida sio kuchepuka, shida ni je mkeo una mheshim na kumthamini?
Amuulize vizuri atagundua kuna kitu mbali na huko kuchepuka kwa mme wake
 
Kama huwezi kumuacha mume mchepukaji ni bora ukae kimya, eti ametoka nae mbali..wapi? Kuzimu?
Mwanaume asiyechepuka atampata wapi? Apambane na hali yake
Tatizo linaanzia hapa

....”Ni mke wamtu kwa kijana smart Wana hela nyumba za kutosha”

Hiki ndio kinachomfanya asiondoke maana anafahamu fika replacement yake haitachukua hata siku 3 za kazi! Atakuwa kashakaimiwa nafasi yake 😂

...”kuondka hawezi sababu wametoka mbali na mumew”

Hiki ni kichaka tu cha kujifichia 😂😂😂
 
Tatizo linaanzia hapa

....”Ni mke wamtu kwa kijana smart Wana hela nyumba za kutosha”

Hiki ndio kinachomfanya asiondoke maana anafahamu fika replacement yake haitachukua hata siku 3 za kazi! Atakuwa kashakaimiwa nafasi yake hakuna kingine
Hahaha anahofu mchepuko utahamia mazima
 
Tatizo linaanzia hapa

....”Ni mke wamtu kwa kijana smart Wana hela nyumba za kutosha”

Hiki ndio kinachomfanya asiondoke maana anafahamu fika replacement yake haitachukua hata siku 3 za kazi! Atakuwa kashakaimiwa nafasi yake 😂

...”kuondka hawezi sababu wametoka mbali na mumew”

Hiki ni kichaka tu cha kujifichia 😂😂😂
Amna bhana anampenda mumewe ndo maaana😀😀😀😀
 
True story
Wakati tunapiga story na jirani zang pia ni rafiki japo kiumr amenizid kidogo nikamsikia anasema" tunakaa kwenye nyumba nzuri vioo Safi tunamali
Kwahiyo dada muandishi nini sababu ya mke kukosa hamu na mumewe ni kujifungua au baada ya mumewe kuchepuka
 
Back
Top Bottom