Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,577
Wapi?Nipo
Wapi?Nipo
Sijui wapi eti[emoji23]eti tumetoka mbali
Point! Yaani muendelee kuchepuka hivyo hivyo jamani na sie tule vimbususu vyenu. Tupeane raha jamani kunyimani ni roho mbaya tuuSisi sio malaika na tunachepuka sana ni vile hamtaki kukubaliana na hali halisi endeleeni kuamini kuwa hatuchepukagi ili msije kufa kwa pressure.
Shangaa mwenyewe lijitu linachepuka na mke wa mtu hlf bado anahubiri wake za watu hawaruhusiwi kuchepuka. Haya maisha nyoko sana. Mla vya wenzake na vyake huliwa
"Mwanaume asiyechepuka utampata wapi?" hili neno la busara sana hebu wanawake wote wasome post yako.Kama huwezi kumuacha mume mchepukaji ni bora ukae kimya, eti ametoka nae mbali..wapi? Kuzimu?
Mwanaume asiyechepuka atampata wapi? Apambane na hali yake
Nani kakwambia mwanaume mmoja anatosha?"Mwanaume asiyechepuka utampata wapi?" hili neno la busara sana hebu wanawake wote wasome post yako.
Mwanamke mmoja hatoshi na huo ndio ukweli haya mapokeo ya dini yanatutesa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo linaanzia hapa
....”Ni mke wamtu kwa kijana smart Wana hela nyumba za kutosha”
Hiki ndio kinachomfanya asiondoke maana anafahamu fika replacement yake haitachukua hata siku 3 za kazi! Atakuwa kashakaimiwa nafasi yake [emoji23]
...”kuondka hawezi sababu wametoka mbali na mumew”
Hiki ni kichaka tu cha kujifichia [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanateseka na mapenzi nyie jaman khaaah.
Yakobo sio mfano mzuri sana. Alitaka mke mmoja tu. Alikuwa mtu wa nidhamu sana. Baba mkwe akamtumikisha miaka saba kisha kumletea mke mwenye chongo usiku. Asubuhi yake jamaa alipolalamika kutapeliwa akapigwa miaka mingine saba ya kazi ngumu ndipo apewe chaguo lake!U selfish wao tu...Dini yenyewe inaruhusu...Yule Yakobo ambaye ndio Israel alikuwa na watoto kumi na mbili lakini si kwa mama mmoja.
Umeongea vizuri,mwisho wa Siku ndio wakeze..... Ibrahim Babu yake,Kuna Mfalme Suleiman na wengine wengi.Yakobo sio mfano mzuri sana. Alitaka mke mmoja tu. Alikuwa mtu wa nidhamu sana. Baba mkwe akamtumikisha miaka saba kisha kumletea mke mwenye chongo usiku. Asubuhi yake jamaa alipolalamika kutapeliwa akapigwa miaka mingine saba ya kazi ngumu ndipo apewe chaguo lake!
Wake zake hao wakaanza mashindano ya kuzaa. Ndipo kila mmoja kwa wakati wake katika zamu yake akawa pia akimleta “house girl” wake kwa Yakobo afanye yake ili kujiongezea idadi ya uzao wake. Hadi hapo ikahesabika, kwa makosa, kuwa Yakobo alikuwa na wake wanne. Kiuhalisia alikuwa na wake wawili, mmoja wa kulazimishiwa, na michepuko/mahawara (concubines) wawili tena wa kuletewa. Ulikuwa ni unyanyasaji wa kijinsia (Mwanzo 29-30).
Hapo lazima mwanamke katumia mpango wa uzazi ambao unaharibu hisia na wanaume huwa tukiona kwenye 6 kwa 6 kila siku ndo tunaanzisha sisi na mwanamke yupo na haonyeshi kuhitaji basi huwa tunajiongeza haraka
Wanakuwa wapole balaa [emoji23]
Hawa ni kwamba hawajui kila mwanaume ana utamu wake????Nani kakwambia mwanaume mmoja anatosha?