Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,009
utazeeka fasta labda ukutane na wanaume wote legelegeNani kakwambia mwanaume mmoja anatosha?

Wabinafsi sana hawa viumbe. Mboga moja inachosha hilo lipo wazi..na mwanamke kutulia na huyo mmoja ni maamuzi na jinsi walivyofundishwa na sio kwamba hawezi kutoka na wengine akiamua.Hawa ni kwamba hawajui kila mwanaume ana utamu wake????
Waambie hao,Umeongea vizuri,mwisho wa Siku ndio wakeze..... Ibrahim Babu yake,Kuna Mfalme Suleiman na wengine wengi.
Waambie hao,
Kuna ndugu yangu mmoja amevunja ndoa yake kisa eti amefumania sms za mapenzi kwenye simu ya mume wake,
Mume na sisi ndugu zake miezi 6 tumembembeleza arudi kwa mumewe ila yeye akajitia kukaza misuli ya shingo,
Baada ya mwaka jamaa akaamua kuvuta mtoto mmoja mkali kinoma akaoa akamweka ndani.
Yule mpuuzi baada ya kusikia mumewe ameoa eti akili ndio zikaanza kurudi, kila mara akawa anatusumbua ndugu zake tumuombee kwa mumewe warudiane.
Jamaa amekaza hataki kusikia ujinga wa kurudiana anakula bata tu na mkewe.
Huyu ndugu yetu sasa hivi bodaboda wanajitombea tu na tayari ameshazalishwa watoto wawili na wanaume tofauti.
Wale mashosti zake waliokua wanamtia ujinga aachane na mume wake sasa hivi wanamcheka.
Ni Upuuzi kutaka kugeuza blue kuwa njano,kifupi Ukiona coloni lako limeingia kidudumtu dawa Ni kuongeza mbinu za kivita ili mume asilowee....kwanza nyingine ukigundua unapiga kimya halafu unaanza mbinu za kuwa busy na wewe oooh mjini hapa warembo kibao umiliki peke yako una bahati gani!Waambie hao,
Kuna ndugu yangu mmoja amevunja ndoa yake kisa eti amefumania sms za mapenzi kwenye simu ya mume wake,
Mume na sisi ndugu zake miezi 6 tumembembeleza arudi kwa mumewe ila yeye akajitia kukaza misuli ya shingo,
Baada ya mwaka jamaa akaamua kuvuta mtoto mmoja mkali kinoma akaoa akamweka ndani.
Yule mpuuzi baada ya kusikia mumewe ameoa eti akili ndio zikaanza kurudi, kila mara akawa anatusumbua ndugu zake tumuombee kwa mumewe warudiane.
Jamaa amekaza hataki kusikia ujinga wa kurudiana anakula bata tu na mkewe.
Huyu ndugu yetu sasa hivi bodaboda wanajitombea tu na tayari ameshazalishwa watoto wawili na wanaume tofauti.
Wale mashosti zake waliokua wanamtia ujinga aachane na mume wake sasa hivi wanamcheka.
Kabisa.Wabinafsi sana hawa viumbe. Mboga moja inachosha hilo lipo wazi..na mwanamke kutulia na huyo mmoja ni maamuzi na jinsi walivyofundishwa na sio kwamba hawezi kutoka na wengine akiamua.
Kusema kweli me napenda mwanaume awe na mchepuko mmja tu zaid ya hapo siwez kuvumiliaTrue story
Wakati tunapiga story na jirani zang pia ni rafiki japo kiumr amenizid kidogo nikamsikia anasema" tunakaa kwenye nyumba nzuri vioo Safi tunamali lkn sikumoja usiku nyumba zetu zingeshushwa kuwe wazi mngeona watu tunavoishi unaweza ukasema afadhali mm kuliko yule"nafsi zetu pia zingekuwa wazi mngeona tunavoteseka
Ni mke wamtu kwa kijana smart Wana hela nyumba za kutosha na ni mwanamke mzuri mtulivu nikajiuliza shida nn aongee Maneno mazito hivo na hajawahi kuzungumzia ndoa yake na huwa hatuna Tabia ya kuzungumzia maisha ya ndoa
Nikamuuliza shida nn akasema"tangu nimzae mtoto wangu sinahamu kabisa na mumewangu sijawahi pata raha ya tendo la ndoa wakati huo mwanae ana nane na wanaishi pamoja mwaka wa tisa. Inamaana Hana amani kwa zaidi ya miaka nane. Kisa hiki hapa
Maisha yao mazuri Sana lkn mwanaume wake ni mwanaume ambae ana wanawake wa nje na wengine anafikia hatua ya kuwajengea nyumba na kuwazalisha kwa kuhisi kuwa mkewe hawez fahamu sababu mji ni mkubwa na ni Siri Yan ni Malaya full package
Kumbe pamoja na mkew kutokuwa mtu wa kutoka huwa anapata habari zote za mumew na analetewa na evidence full kuhusu kuondka hawezi sababu wametoka mbali na mumew na hata akimuuliza anajua atakana tu anabaki anaumia miak nane unamchekea mtu anaekuumiza kwakweli anaishi kwa mateso mno
Kakazangu mnaochepuka afya za wake zenu na mioyo yao kwenu ni mbaya mno ukilinganisha na mnavowaona wanawahudumia na kuwachekea na mabaya yenu asilimia 70 na usalit wenu wanaufahamu japo hawawaulizi kwa kuhofia kuvunja ndoa
Ebu wakat mnafanya hayo waangalieni na wao mnawatesa mno.
Yaani mimi hata sijamuelewa alichokiongea hapo[emoji23][emoji23]Umeandika hovyo hovyo bila mpangilio. Hariri halafu ilete tena tuisome hadithi yako hii.
Kabisa.
Halafu wanajua utamu wa penzi jipya hawa.
Au wanataka wao tu ndio wanafaidi kuwa na mahusiano mapya kila siku.. .
Hivi wanajua mwanaume akijijua yeye ni mcheps anavyojituma???
Hebu watuache bana.
Wanawake wanatulia mno wakishapenda ila wakianza ujinga wao wa kijifanya mwanamke mmoja hatoshi ndipo wanapotibua vilivyolala...
Sanamu lako tulijenge wapi?,Sema unapopendelea.Kama huwezi kumuacha mume mchepukaji ni bora ukae kimya, eti ametoka nae mbali..wapi? Kuzimu?
Mwanaume asiyechepuka atampata wapi? Apambane na hali yake
Ha ha ha ...[emoji4]Wengi ndio style hii, ana mke wa ndoa na mcheps wa kwenda!!
Wengi legelegeutazeeka fasta labda ukutane na wanaume wote legelege
Ha ha ha....povu linawatoka[emoji4]Bamtu bamevurugwa humu
Raia zimekata tamaa kabisa yaniHa ha ha....povu linawatoka[emoji4]
Story ni nzuri ila kumbuka kwa hapa Bongo wanaoharibu ndoa za wenzao si wanaume tu wa ndoa bali hata mchepuko, tena mchepuko ndiyo chanzo kikubwa. Unakuta mtu (Mwanamme) huna kabisa mpango na mwanamke wa nje, siku ya siku unasalimia jirani unashangaa anakualika kwake kwa lengo moja tu, akunase bila wewe kujuwa. Nasema haya kwani hata mimi yalinikuta ila nilibahatika kujuwa mtego mapema kwani kuna walionitonya juu ya yule mdada mchagga. Wanawake wengi hapa Bongo japo ni viombi ila pia wana sifa zingine za kijinga sana za kuchezea waume za watu ili wawaweke mjni. Unakuta mwanamke mchepuko anachukua jukumu la kuua ndoa ya mtu ili aolewe yeye na kuwatunza wazazi wake huko kijijini kwao, wanawake wa aina hii ndiyo wale wanaotesa watoto wa kambo, yaani watoto aliyewakuta katika ndoa. Wanaume tuwe makini na hawa wanawake.True story