Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
Sasa je๐ huhitaji mganga kujua kuwa unateseka ๐๐๐Pesa ndo inanitesa mimi ๐ ๐ ๐ ๐
Sasa je๐ huhitaji mganga kujua kuwa unateseka ๐๐๐Pesa ndo inanitesa mimi ๐ ๐ ๐ ๐
Pole mrembo nini kimekukuta?Lkn hajamkuta anavyo ni wametafuta wote maisha had kufikia hapo ilo ndo tatizo
Na maumivu zaidi ni hapo
Sasa nikijitolea kukupenda si ndo mateso yanafika mwishoSasa je๐ huhitaji mganga kujua kuwa unateseka ๐๐๐
Mateso hayanaga mwisho sema utapumzika kwa muda tu๐ hutateseka sanaSasa nikijitolea kukupenda si ndo mateso yanafika mwisho
Hakumkuta na kitu Cha maana japo hakuwa maskini riziki alikuwa anapata sasa kuhusu huko ndani sijui asee"tangu nimzae mtoto wangu sinahamu kabisa na mumewangu sijawahi pata raha ya tendo la ndoa"
Kama mwanamke hapati raha ya tendo la ndoa, tatizo ni la nani? Hisia zake kwa mwanaume wake zimepungua?
Kwanini zipungue baada ya kuzaa?
Mwanamke tayari ashajiaminisha hapati raha wakati wa tendo, moja kwa moja inaonyesha anafanya tu pasipo hisia na hii performance lazima iwe ya kawaida kabisa. Na labda huwa anamuwekea tu aingize ili tu mwanaume afike kisha kazi kwisha.
Kwa hali hiyo unategemea huyo mwanaume asichepuke?
Huyo mwanamke yeye anaishi vipi tendo miaka zaidi ya nane halifurahii?
Umemuuliza kama anayo alternative ya kukidhi hitaji hilo ipasavyo?
Huo ni upande wa mwanamke, upande wa mwanaume hatujahusikia kujua nini kinamsibu kumhusu mwanamke.
Kuwa na mali na pesa ni tofauti kabisa na kuwa na Furaha, hili lazima litambulike.
Furaha huletwa na mambo mbalimbali katika maisha ambavyo mara nyingi siyo kuwepo kwa mali wala pesa.
Next time usilinganishe furaha ya mtu na mali alizonazo. HAKUNA UHALISIA WA UWIANO.
Usihukumu kwa kusikiliza upande mmoja. Pata muda kusikiliza na upande wa pili.
Hapa hakuna balance na atatupiwa lawama mmoja bila kufikiri upande wa pili.
Basi avumilie sa sie tutamsaidiaje?Tatizo linaanzia hapa
....โNi mke wamtu kwa kijana smart Wana hela nyumba za kutoshaโ
Hiki ndio kinachomfanya asiondoke maana anafahamu fika replacement yake haitachukua hata siku 3 za kazi! Atakuwa kashakaimiwa nafasi yake ๐
...โkuondka hawezi sababu wametoka mbali na mumewโ
Hiki ni kichaka tu cha kujifichia ๐๐๐
Heshima na kuthaminiwa haviwezi kuwepo mtu ana michepuko mia. No love hapo wazaliane tu basKwaiyo unaamin wanaume wote ni wachepukaji?
Alaf Shida sio kuchepuka, shida ni je mkeo una mheshim na kumthamini?
Amuulize vizuri atagundua kuna kitu mbali na huko kuchepuka kwa mme wake
Sawa amesema , itamsaidia nini kama hali iko vile vile? Dawa ya moto ni maji au unasemaje Evelyn Salt ?Ni kweli lkn maumivu yako pale pale Bora alieamua kusema kuliko anaeumia mwisho anaamua kunywa sumu
Duuuuh!!! Na wewe umeiga uandishi wake siyo. Ni shemela yako nini?? Pole sana!!Sio muandishi mzuri lakn ataelewa sawa usieelewa pia pole
[emoji23][emoji23]Sawa amesema , itamsaidia nini kama hali iko vile vile? Dawa ya moto ni maji au unasemaje Evelyn Salt ?
Kulialia mume anachepuka ni upuuzi..atafute ile solution ya kumpoza machungu.
[emoji23][emoji23]Kisa cha kubeba maumivu ninini?
Kuna haja gani ya kuwa mwaminifu kwa asiye mwaminifu kwako???
Kuna haja gani ya kuwa.loyal kwa mtu ambaye sio loyal kwako?
Maisha mafupi haya
Mwambie ajivutie mchepuko mwenye show ya kibabe ale maisha
Asijekufa na utamu wake
Wakati mwenzie anatumia sehemu zake za siri kwa starehe zake.. .
(Wenye wake zenu povu mkaogee)
Akichoka ataondoka bila kusimulia, kama ananguvu ya kusimulia basi hajachoka bado,labda kama anaogopa kupambana.Ila ajiandae na presha hii tumetoka mbali hainaga mashiko ni uwoga tuAlafu hata haongei miaka yote iyo kizuri zaidi sijawahi sikia ana kamchepuko nae apumzike sema ndo hivo hakustahili analopitia
Wanawake kubalini tu kuwa monogamy is a scam. Hakuna mwanaume duniani ana settle na meanamke mmoja. Ushaolewa unapendwa, anakujali wewe na familia, anakukaza vizuri na kukusikiliza basi tulia.True story
Wakati tunapiga story na jirani zang pia ni rafiki japo kiumr amenizid kidogo nikamsikia anasema" tunakaa kwenye nyumba nzuri vioo Safi tunamali lkn sikumoja usiku nyumba zetu zingeshushwa kuwe wazi mngeona watu tunavoishi unaweza ukasema afadhali mm kuliko yule"nafsi zetu pia zingekuwa wazi mngeona tunavoteseka
Ni mke wamtu kwa kijana smart Wana hela nyumba za kutosha na ni mwanamke mzuri mtulivu nikajiuliza shida nn aongee Maneno mazito hivo na hajawahi kuzungumzia ndoa yake na huwa hatuna Tabia ya kuzungumzia maisha ya ndoa
Nikamuuliza shida nn akasema"tangu nimzae mtoto wangu sinahamu kabisa na mumewangu sijawahi pata raha ya tendo la ndoa wakati huo mwanae ana nane na wanaishi pamoja mwaka wa tisa
Inamaana Hana amani kwa zaidi ya miaka nane
Kisa hiki hapa
Maisha yao mazuri Sana lkn mwanaume wake ni mwanaume ambae ana wanawake wa nje na wengine anafikia hatua ya kuwajengea nyumba na kuwazalisha kwa kuhisi kuwa mkewe hawez fahamu sababu mji ni mkubwa na ni Siri Yan ni Malaya full package
kumbe pamoja na mkew kutokuwa mtu wa kutoka huwa anapata habari zote za mumew na analetewa na evidence full kuhusu kuondka hawezi sababu wametoka mbali na mumew na hata akimuuliza anajua atakana tu anabaki anaumia miak nane unamchekea mtu anaekuumiza kwakweli anaishi kwa mateso mno
Kakazangu mnaochepuka afya za wake zenu na mioyo yao kwenu ni mbaya mno ukilinganisha na mnavowaona wanawahudumia na kuwachekea na mabaya yenu asilimia 70 na usalit wenu wanaufahamu japo hawawaulizi kwa kuhofia kuvunja ndoa
Ebu wakat mnafanya hayo waangalieni na wao mnawatesa mno..
[emoji23][emoji23]Kisa cha kubeba maumivu ninini?
Kuna haja gani ya kuwa mwaminifu kwa asiye mwaminifu kwako???
Kuna haja gani ya kuwa.loyal kwa mtu ambaye sio loyal kwako?
Maisha mafupi haya
Mwambie ajivutie mchepuko mwenye show ya kibabe ale maisha
Asijekufa na utamu wake
Wakati mwenzie anatumia sehemu zake za siri kwa starehe zake.. .
(Wenye wake zenu povu mkaogee)