Wanaume wanahangaika sana

my name is my name

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Messages
1,149
Points
2,000
my name is my name

my name is my name

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2015
1,149 2,000
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona πŸ˜‚πŸ˜‚ kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii πŸ˜… halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia πŸ˜‰
 
Triple G

Triple G

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
1,356
Points
2,000
Triple G

Triple G

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2011
1,356 2,000
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona πŸ˜‚πŸ˜‚ kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii πŸ˜… halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia πŸ˜‰
Alafu Acha dharau..unaonekana una dharau sana wewe!! Ndo maana umepigwa mashine na ukaachwa...!! huyo boy wako kumpata huyo demu inaonekana demu mtamu na anajua mambo kukuzidi...Uzur hausaidii sana
 
Braitfyucha

Braitfyucha

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
169
Points
250
Braitfyucha

Braitfyucha

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
169 250
Inaonekana wewe ndio unateseka maana hadi umemjua gf wake mpya ukamchunguza ukaona ni mbaya, uzuri wa mtu uko machoni mwa anayemtazama. Just move on girl

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umemwambia ukweli
talking negativity kuhusu jambo fulani maana yake ni kujutia alaf kadili anavozidi kuzungumzia negatives kuhus past relationship yake anazidi kujiumiza zaidi na anajutia sana
na hii inaonesha kabisa yeye ndo alieachwa na anaumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Messages
844
Points
500
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2016
844 500
Sijui upande wa kiumeni labda ww umeongelea kwa upande wenu ila sisi ke tunataka kuthaminisha, kanizidi! hata ukusikia bwana wa rafiki wameachana ana demu mwingne maeneo ambayo ww upo lazima utataka kumjua ulinganishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndyo wivu tunaosema... Umeacha/ umeachwa move on achana naye kabisa x... Fanya mambo yako ..onyesha ushirikiano panapobidi kwasababu nyinyi siyo maadui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Messages
844
Points
500
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2016
844 500
bro_A

bro_A

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2015
Messages
1,276
Points
2,000
bro_A

bro_A

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2015
1,276 2,000
Sio kwamba anahangaika ila jua huyo aliyenaye sasa ye kamuona ana thamani kuliko wewe...pole sana bibie,
Na kwann umfatilie yuko na nani sasa kama sio kuumi roho umeachwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Triple G

Triple G

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
1,356
Points
2,000
Triple G

Triple G

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2011
1,356 2,000
Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamia
usieseme "kajitu' huyo demu unaweza shangaa ndo mpaka ndoa....sasa wewe endelea kujiona mzuri huku ukichelewa.

NB: Nitafute PM nione tunatatua vipi hii shida... Nipooze hayo machungu.Nipo seriousπŸ˜€
 
Triple G

Triple G

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
1,356
Points
2,000
Triple G

Triple G

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2011
1,356 2,000
Kumloga? Kumloga mwanaume asiyejitambua ili iwe nini?
Karibu PM tuyajenge najua upo single sahizi..Tunaweza weka mambo sawa na ukamsahau jamaa!! nayeye tumlingishie aumie...Au unasemaje mamii..? nipo serious
 
mnyamamkalisana

mnyamamkalisana

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Messages
405
Points
250
mnyamamkalisana

mnyamamkalisana

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2018
405 250
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
Kwani kakutangazia au unajistukia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
19,219
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
19,219 2,000
Kwa hili bandiko inaonekana sura yako ndio umeigeuza maslahi kwenye mahusiano kuliko tabia njema. Sasa we endelea na akili hio utaachwa mpaka ujione una mikosi.

Halafu kimsingi ulijua ukiachwa jamaa ata struggle kupata mpenzi mpya ili nafsi yako isuuzike matokeo yake kashapata goma mapema tu...we kaa kwa kutulia regardless mpenzi wake ni mzuri au mbaya kwa mtazamo wako alimradi ana sifa zote za kuitwa mwanamke we haikuhusu acha kuteseka. Ulibipu jamaa kapiga we lala zako mbele sasa uone kama kupata mwanaume mwenye akili ni rahisi.
 
Braitfyucha

Braitfyucha

Senior Member
Joined
Feb 22, 2019
Messages
169
Points
250
Braitfyucha

Braitfyucha

Senior Member
Joined Feb 22, 2019
169 250
kwa age yangu hakuna kupotezeana muda na weza sema ni experience halafu we were madly in love sasa unaanzaje kusema kupoteza muda hata kama mapenzi yameisha siwezi kusema ni kupoteza muda hata kama tumeachana kuna vitu nme learn kwa hii relationship
Pole mkuu.
Mungu ataleta mwanaume sahihi wa maisha yako kuwa na subira tu

kumbuka

"Love is not enough"

Hii inamaana kwamba
huyo unaedhani mlipendana sana
kuna siku utakuja kupata mtu mwingne ambae mtapendana sana kuliko hata mahusiano yaliyopita
mapenzi ndivyo yalivyo
maisha ndivyo yalivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Triple G

Triple G

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
1,356
Points
2,000
Triple G

Triple G

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2011
1,356 2,000
Hamna kitu kinauma kama unajijua ww mzuri alafu hujaolewa alafu Yule unayeona mbaya bwana ako ndiyo kamuowa na ndo a kubwa hatari unabaki kucheka uku roho inakuuma

Sent using Jamii Forums mobile app
nikamwambia dada yangu huyo anaesema kajitu unaweza kuta huu mwaka hauishi tukaanza kupokea kadi za harusi sijui na sendoff..akati yeye kakaa nae kwa maelezo yake 3 yrs..hakuna kitu kitamuuma kama hicho..kabla hatujafika christmass ndoa itatangazwa na they will live a happy life there afterπŸ˜€..!! wanaume ndo tulivo ukimwaga mboga namwaga ugali wote...alafu naenda kula pilau kwa mwingine
 
Planett

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Messages
6,727
Points
2,000
Planett

Planett

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2014
6,727 2,000
kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii πŸ˜… halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia πŸ˜‰
WEWE inaonekana umeanza kuchanganyikiwa! ulijua mchizi atajinyonga au? na inaonekana kavuta chuma so umabaki unateseka....wanaume hatubabaishwi na papuchi wewe
 
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
9,045
Points
2,000
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
9,045 2,000
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona πŸ˜‚πŸ˜‚ kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii πŸ˜… halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia πŸ˜‰
Uzuri wa ndani wa huyo dada unayesema mbaya unaujua? Sebule yako na yake ipi safi? Je, cushion yake na yako ipi bomba? je, anavyotoa support kwenye game ni sawa na wewe?
 

Forum statistics

Threads 1,336,388
Members 512,581
Posts 32,537,577
Top