tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,201
- 29,762
Mungu Hamnyimi mtu vitu vyote..asipokupa hiki basi anakupa kile..hii yote ni ku balance maisha maana anatujua sana sisi binadamu. ndo maana unakuta kilema anaolewa na mtu wa mzima kabisa..na vitu kama hivoumemjibu vyema sana, uzuri uko sehemu nyingi;
1. uzuri wa uso
2. uzuri wa umbo
3. uzuri wa moyo
4. uzuri wa mashine.
no 4. hupatikana zaidi kwa wale wanaodhaniwa hawana uzuri wa uso.
na
mara nyingi warembo haswa huwa mashine zina utata/mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee siku hizi hadi mwanamke mashineumemjibu vyema sana, uzuri uko sehemu nyingi;
1. uzuri wa uso
2. uzuri wa umbo
3. uzuri wa moyo
4. uzuri wa mashine.
no 4. hupatikana zaidi kwa wale wanaodhaniwa hawana uzuri wa uso.
na
mara nyingi warembo haswa huwa mashine zina utata/mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app


Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu 😂😂 halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona 😂😂 kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii 😅 halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia 😉
kwamba jamaa akiweka tu tayri, akiweka tu tayari..yote yanawezekana aiseeh...maana mmmh kuna mademu wengine kila mara unamtamani sio kwa sura bali kwa mashine ilivo tamuu...wengine ni balaa kwa kweli....hapo ....ndio maana anashangaa jamaa kaopoa demu mbovu... Kumbe manzi ni full mnato huko down...
Sent using Jamii Forums mobile app
You seekwamba jamaa akiweka tu tayri, akiweka tu tayari..yote yanawezekana aiseeh...maana mmmh kuna mademu wengine kila mara unamtamani sio kwa sura bali kwa mashine ilivo tamuu...wengine ni balaa kwa kweli....


Kwa huu mwandiko wewe ndo umeachwaWanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Munguhalafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona
kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii
halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
![]()
Kwani kuumia kunategemea ni nani kamuacha mwenzake? Mimi sikujui wewe wala hao wenzio wawili lakini maneno yako yanaonesha UNATESEKA. Ungekuwa huna maumivu ya 'tumbo' ulipotumiwa picha ya current affair ungetazama, ukacheka na kuendelea na maisha yako. Lakini kwako haikuwa hivyo, umeanza kumchambua current affair moyoni, ukaona haitoshi ukaja JF kumuanzishia uzi.Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Wewe ndo unaehangaika tu dume mbona limetulia?umeacha na huku ka roho kanakuuma kwa taarifa yako hiyo alieshika nafasi yako ndio bora zaid kuliko wewe(kipenda roho....)Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Munguhalafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona
kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii
halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
![]()
Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamia
Hoa ndio majike yasiyofundwa,unatwambiaje umbra tu" eti nimetumiwa picha" picha tuuu!! Inawezekana hata kuamua kumwacha umesikia ya kuambiwa, jirudi umsii sana tena sana "myamalize."
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Munguhalafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona
kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii
halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
![]()