Wanaume wanahangaika sana

Wanaume wanahangaika sana

Sijui upande wa kiumeni labda ww umeongelea kwa upande wenu ila sisi ke tunataka kuthaminisha, kanizidi! hata ukusikia bwana wa rafiki wameachana ana demu mwingne maeneo ambayo ww upo lazima utataka kumjua ulinganishe

Sent using Jamii Forums mobile app
utam wa mwanamke kwa mwanaume upo kitandani. kuna kaz nyingine hazina mvuto kwa wanaume. Unajisemea napga mech moja napotea, ukipiga unakuta mtoto ni mtam kule chini na ni fundi, mwisho wa siku mnasema fulani kalogwa mbona kachukua mwanamke mbaya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom