Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
Kama hajitambui kwann unamuongelea??? Unamfungulia hadi uzi...Kumloga? Kumloga mwanaume asiyejitambua ili iwe nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hajitambui kwann unamuongelea??? Unamfungulia hadi uzi...Kumloga? Kumloga mwanaume asiyejitambua ili iwe nini?
Kunaambo mashine zao zimepwaya zimetumika kuliko viwanja vya mpira
hakafikii kwa K au kitu gani?ukiona hivyo na wewe bado unamtaka sasa huku unaleta ili tukusaidiaje?Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu 😂😂 halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona 😂😂 kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii 😅 halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia 😉
Viumbe hebu mpeni pole na faraja My name is my name kwa nini mnampa za mbavu hivyo hali ya kuwa kaja kutema nyongo jukwaani mnataka ajiuwe kwa machungu ya kuachika![]()




ndio maana CAG amemwita dhaifu.Jukwaa si la kuomba ushauri hili Unaweza kujikuta una mawazo zaidi 😀😀ndio maana CAG amemwita dhaifu.
Kuachika kunauma jamaniii yaani dada yetu anatapatapa utafikiri mtu anaetaka kukata roho.
Maendeleo hayana chama
My name is my name alikua haombi ushauri, alikua anatuchamba wanaume kua tukiachwa basi tutafute demu mkali zaidi kuliko yule aliekuacha ili hata ex wako akimuona roho imuume kama vile roho inavyomuuma yeye sasa hivi baada ya kumpiga bwanake talaka 3.Jukwaa si la kuomba ushauri hili Unaweza kujikuta una mawazo zaidi![]()
ha ha haaa...sasa kama hujamchunguza umejuaje kama ni mbaya?Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Munguhalafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona
kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii
halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
![]()
nasubiriWeka picha zenu wote ili tutoe hukumu ya haki
Fata mambo yako acha kumuwaza x wako hata kama unajutiaWanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Munguhalafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona
kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii
halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
![]()
SASA WEWE MJINGA NAKWAMBIA HIVI,Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Munguhalafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona
kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii
halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
![]()
Amepanic sana mkuu,Inawezekana alitingisha tu kibiritiInaonekana wewe ndio unateseka maana hadi umemjua gf wake mpya ukamchunguza ukaona ni mbaya, uzuri wa mtu uko machoni mwa anayemtazama. Just move on girl
Sent using Jamii Forums mobile app
😱😱😱😁SASA WEWE MJINGA NAKWAMBIA HIVI,
HUYU WA SASA HIVI ND'O NAOA KABISA ILI IKUUME VIZURI,
WEWE NILIKUACHA UENDE KWA SABABU KICHWANI HAUNA AKILI.
ENDELEA KUDANGA NA UTAZEEKA HIVYOHIVYO!!!
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Ashajua nyie wazur wa sura n empty mind bora kuchukua private face ndo unaweza dumu nae,ss ww jione kua amechukua asie mzur kumbe ndo wa future na ww utaendelea kudangaa tu mtaanWanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu 😂😂 halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona 😂😂 kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii 😅 halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia 😉
hahahahah!hapa ss utakua uchokozi maana huend yy ndo alikua kituko ss mwenzake kamfunikaWeka picha zenu wote ili tutoe hukumu ya haki
erenceWanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu 😂😂 halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona 😂😂 kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii 😅 halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia 😉