wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,940
- 5,746
Au mwanamke mwenye uke lakin hakuna kisimiUzi huu pila picha ni sawa na mwanaume mwenye uume lakini hausimami
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Au mwanamke mwenye uke lakin hakuna kisimiUzi huu pila picha ni sawa na mwanaume mwenye uume lakini hausimami
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee Sasa mwenzio kakurupuka kuleta huku uzi tena kwa ID feki, basi angewataja hata majina....inaonekana kazoea insta na fbSijasema hivyo usinilishe maneno tafadhali mbona unakua kama supika wa bunge letu lakini???
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahaahAiseee Sasa mwenzio kakurupuka kuleta huku uzi tena kwa ID feki, basi angewataja hata majina....inaonekana kazoea insta na fb
kwa age yangu hakuna kupotezeana muda na weza sema ni experience halafu we were madly in love sasa unaanzaje kusema kupoteza muda hata kama mapenzi yameisha siwezi kusema ni kupoteza muda hata kama tumeachana kuna vitu nme learn kwa hii relationshipMkuu....
Kwa hii comments ndio haswaaaa umedhihirisha na kuyaonyesha maumivu yako kwa uwazi kabisa.
Tena naona umetuongezea na lingine la kupotezewa muda kwa muda wa miaka mitatu na mwisho sasa unaona aibu kuwa na mtu mwingine kwasababu eti utaitwa malaya, na mbaya zaidi unaonekana kama sasa unaishi kwa kuhofia eti watu wana/watasema nini
Au unawajua, maana hapa unaweza comment kumbe yeye ndo mbovu kuliko mwenzake.....
Ndiyo ww huyu???kwa age yangu hakuna kupotezeana muda na weza sema ni experience halafu we were madly in love sasa unaanzaje kusema kupoteza muda hata kama mapenzi yameisha siwezi kusema ni kupoteza muda hata kama tumeachana kuna vitu nme learn kwa hii relationship
hmm wewe umewaza tofauti kabisaKinachokuumiza hata sio ubaya wake bali ni wivu,ukiamini huyo new girl hakustahili kuwa na jamaa yako either kwa sabab anapata vitu ambavyo yawezekana ww ulivikosa au hukuvipata...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana we toka lini mtu akajisifu mwenyewe....hivi kuna anaejiona mbaya???? Hahahahahahaha uwiiii cha msingi aache kumfatilia huyo x wake basiAu unawajua, maana hapa unaweza comment kumbe yeye ndo mbovu kuliko mwenzake.....
Yeye ndio anaeteseka mpka anataka kuwa recognized
wewe tu ndio umeongea uhalisia wengine wanakazana ati ni wivu. halafu mimi sijamfatilia nimetuiwa tu pichaSijui upande wa kiumeni labda ww umeongelea kwa upande wenu ila sisi ke tunataka kuthaminisha, kanizidi! hata ukusikia bwana wa rafiki wameachana ana demu mwingne maeneo ambayo ww upo lazima utataka kumjua ulinganishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Bwana we toka lini mtu akajisifu mwenyewe....hivi kuna anaejiona mbaya???? Hahahahahahaha uwiiii cha msingi aache kumfatilia huyo x wake basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu pambe hao waliokutumia picha, wagombanishi wanataka kujua utasemajewewe tu ndio umeongea uhalisia wengine wanakazana ati ni wivu. halafu mimi sijamfatilia nimetuiwa tu picha