Wanaume wanahangaika sana

Wanaume wanahangaika sana

Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Pole zako dadaaa. Kweli umeumia sana na labda aliyekufanya umwache sasa kakusubirisha kwenye waiting list. Ulipotaka kuyarudia matapishi ukakuta umewahiwa seat. Dah! Ka hodi ulikuwa hujalipiwa kumbuka hii ni April, mwanzo wa mkataba mpya!!!! Kweli vidume vingine balaa kabisa. Unamfanya dem anakurupuka kutishia nyau mzee wa kodi ya pango kabla hujamuweka sawa. Sasa utaaibika mwezi huu huu April. Kumbuka this was April Fool's month.
Limjamaa likaku block kote kote dah! Limjamaa libaya hiloooo. Utalia kilio cha mbwa koko this year 2019.
 
Mbona wewe ndio unateseka sasa?
Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamia
 
Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamia
Huyo unayemuona mbaya Mungu atajalia ataolewa wewe endelea kudanga.
 
Miss mbona unateseka sana??
Kama umemuacha kinachokuwasha ni nini mpaka uanze kutoa kasoro na kujilinganisha na girlfriend wake mpya !?

Kwa mtazamo wangu naona dhahiri wewe ndiyo umeachwa na hukutarajia kuachwa najua unaumia kisiri siri ,,,so ni bora ukubaliane na uhalisia/ukweli tu na uendelee na maisha yako
La sivyo utateseka mpaka utachakaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
Nimeelewa mambo miwili ya muhimu sana kwenye hili bandiko lako....
1. Unaumizwa na kila unapo muona mwanaume mlie achana akiwa na mdada mwingine.
2. Hili ni tangazo tosha kwetu sisi wanaume wenye uzowefu kwenye makatiko/mahusiano kwamba, sasa hivi tunapaswa tujuwe kwamba upo single.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom