Wanaume wanahangaika sana

Wanaume wanahangaika sana

Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
Mbona povu bibie ilhali wewe ndo umeacha?

Unaweweseka na kutapatapa kulikoni?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamia
Hata wewe kuna watu wanakuona ni kajutu kabaya pia,umejuaje Kama wewe ni mzuri zaidi ya huyo unayemwita kajitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
 na huu uzi umefunguliwa na mtu pia?

Ha ha ha pole, move on
 
Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana.

Anaye move on haraka ujue alikuwa na huyo mtu kipindi bado mpo kwenye uhusiano, na huenda huyo aliyenae ndio alimdatisha hadi akaanza kukuletea wewe visa ili umuache umpe nafasi akae na ampendae, umepiga teke chura inshort

Jamaa kakupiga Block (hili umejuaje kama sio ulileta shobo za kumtafuta ukakutana na block)
Pili, Unateseka sana kwakuwa ulifikiri jamaa atakuganda na kukubembeleza ila imekuwa kinyume na matarajio
tatu, Alikoenda anapata penzi tamu sana kuliko alilopata kwako (hili inabidi ulijue)
Nne, Nikupe Pole sana na acha kuteseka as long as una papuchi haiwezi kosa matumizi,
Nikuhakikishie ulichokifanya ni sawa na kukimbia nchi kwasababu ya mvua, utakoenda pia itanyesha tu
 
Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamia
Naona umetulia na maisha kumfungulia uzi jf
 
Wewe mimi siumii cuz mimi ndio nimemuacha halafu baada ya kumuacha kani block kote kote. Sasa hapa anaeumia nani kama sio yeye. Girl wake mpya sijamchunguza nimetumiwa picha na mtu tu
Ukiona..
1. Unafuatilia kuona kama amekubloku au la, tena kila kona
2. Unafuatilia aliyempata kama kakuzidi uzuri au la
3. Unapolizwa na wadau kuhsu X wako majibu ni ya hsri shri

JUA KWAMBA
wewe ndo unaumia.... hujakubaliana na hali.... na kama haitoshi maumivu yako UMEYAANZISHIA UZI
 
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
Kwani wewe alikuokota wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka umekuja kulitapikia hapa jf basi inaonekana imekuuma.
 
Ungekuwa huteseki usingefika kuja hapa na kuanza uandishi sema unatafuta washenga wakaombe msamaha urudishwe kundini ewe mwana mpotevu na sisi tumegoma pambana mwenywe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana wewe ndio unateseka maana hadi umemjua gf wake mpya ukamchunguza ukaona ni mbaya, uzuri wa mtu uko machoni mwa anayemtazama. Just move on girl

Sent using Jamii Forums mobile app
umemjibu vyema sana, uzuri uko sehemu nyingi;
1. uzuri wa uso
2. uzuri wa umbo
3. uzuri wa moyo
4. uzuri wa mashine.

no 4. hupatikana zaidi kwa wale wanaodhaniwa hawana uzuri wa uso.
na
mara nyingi warembo haswa huwa mashine zina utata/mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ID yako nilivyoisoma imenikumbusha story ya biblia kati ya Musa na Mungu...

Hasa pale Musa alipouliza wakiuliza jina la alienituma niwaambiaje "..Mungu akajibu jibu linafanana na ID yako"...

Ushauri tu ,usiwe na jealous....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom