Wanaume wanahangaika sana

Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamia
Hivi inapata wapi guts za kumwita mwenzio mbaya?
Uzuri wako ni upi?
Na ubaya wa huyo mtu ni upi?
Tueleze japo kwa ufupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa ndio umeanza kuingia online.....
Ebu cheki pm yangu hapo uone kama unaweza nifanyia wepesi kwasababu saizi upo singo tagmfadhali....
kwa age yangu hakuna kupotezeana muda na weza sema ni experience halafu we were madly in love sasa unaanzaje kusema kupoteza muda hata kama mapenzi yameisha siwezi kusema ni kupoteza muda hata kama tumeachana kuna vitu nme learn kwa hii relationship
 
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
Huu uzi wako ni wa kipuuzi puuzi kbs kaweke Fb hauna hadhi ya kuwemo humu unajaza uchafu tuuu humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naumia vipi wakati nimetulia zangu naendelea na maisha yangu. Yeye ndio anaeumia ujue kwenye relationship mkiachana yule anaejifanya ku move on haraka ndio aliyeumia sana. Masikini katafuta kajitu kabaya ili kuonyesha watu ame move on haha huku moyoni anauamia
Aff acha kujisifia watu watakuja pm ili waendelee kukuchezea na hivi unastress utapigwa dana dana humu kuja kustuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
Kwahy uko single mdada. Ebu kuwa muwazi kdg usizunguke sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom