Wanaume wanahangaika sana

Wanaume wanahangaika sana

Mkuu.... kama tayari umesha achana na mtu, kwani unapata nini ama unamthaminisha ili iweje...!!?? Then baada ya hapo ili nini kiwe...!!??
Kimsingi ukimuona yeyote mwenye bado anamfuatilia ex wake, basi ujue huyo mtu bado anamaumivu
Sijui upande wa kiumeni labda ww umeongelea kwa upande wenu ila sisi ke tunataka kuthaminisha, kanizidi! hata ukusikia bwana wa rafiki wameachana ana demu mwingne maeneo ambayo ww upo lazima utataka kumjua ulinganishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
Kwan Hiyo nyapu yako Ina dhahabu kenge ww
Tena ilivo kama kokwa la embe lililokanyagwa na gari ina maji mengi Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia
Hebu mpe binadamu mwenzio heshima yake plz.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Unaongea sana Kwa uchungu dada ?? Naona umejuta kumuachaaa sasa ameokotwa kanaweza kuwa kabaya lakini kakampa utamu kuliko uliokuwa unampaaa weew .....poleeeee hahahahahaahahah poleeeee bwabwahuahuabahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom