Landson Tz
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 295
- 221
Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza.
Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu kwa muda mrefu.
Kuwa na Rais mwanake kwa nchi yetu ni kama mapinduzi (maana haikutarajiwa) hivyo tuwe na matumain kuwa atafanya mapinduzi ya kweli kiuchumi na kijamii.
Kumuunga mkono ni pamoja na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake kwake na kwa taifa kwa ujumla. Na serikali ituwezeshe pale tunapohitaji uwezeshwaji.