kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,790
- 12,224
Siku hizi mambo ni chap chap 😚☺😀😀😀😀😀😀acha basi
Siku hizi mambo ni chap chap 😚☺😀😀😀😀😀😀acha basi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Halafu wewe Dogo kua na adabu. Kama babako Yuko hivyo ni yeye. Na kitu ambacho hujui wanaumme walioa ndo wenye hela popote pale.
😀😀😀na mi naonaSiku hizi mambo ni chap chap 😚☺
Naaam😀😀😀na mi naona
Mkuu hili linaukweliAcha upumbavu, mashati ya vitenge hayana uhusiano kuoa
Kweli kbsa mkuu,jamaa Ana mipasho ya hatarii sanaKwa mipasho hii yote, itoshe tu kusema tangu leo hii jina lako la ubatizo utaitwa "Adija Kopa" sababu ni adimu sana kukuta Me wa kibantu halisi toka Kanda ya ziwa TZ akiwa na vinasaba hivyo
😉😉😉 njoo kwa remmy ongala jr hapaAkuu sipatan na mahandsome mie nataka sura ngumu
mama D dadaangu kipenzi, hebu njoo umsikie anavyomsakama shemeji[emoji28]
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.
2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.
Povu ruksa [emoji851]
We
jamaa ni foo kabisa yani[emoji23][emoji23][emoji23] umechemka kweli!
Wanaume za watu wanaongoza kwa usmati mwanzo mwisho na kuvaa nguo classic. Ndio chaguo la watoto wakike wengi ambao wanajua maisha.