Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,428
- 191,710
Mshamba huyoMwambie uyo mkuu hajui tulioa tunaliliwa sana na dada zao.[emoji28]

Na wewe acha mambo yako unanilazimisha kucheka wakati nimekasirika. Eti 'nimekuwa.mbilia bel"[emoji28][emoji28][emoji28]Uwe na adabu mkuu.Yani mimi nivae shati la kitenge?Nimekuwa Mbilia Bel?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Extrovert umeongea point, sie ndiyo tunaongoza kuwa smart, kuwa na hela za uhakika, kuishi vizuri, kunukia vizuri pia na ndiyo maana wadada wanatupenda sana. Angalia kwa umakini hapa mjini na mikoani, nani anayeongoza kutembea akiwa anaongea na kucheka peke yake, kuwa na stress za maisha, kufanya vitu vya kijinga kwa sababu hawana lolote.....utagundua kuwa ni mabachela. Huyu jamaa mleta mada ana hasira tu na sie tuliyeoa anaona kwanini tunapendwa tena hata na wake za watu halafu yeye hapendwi. Kwa hasira hizo ndipo akaamua kuja na na hii hoja ya kutukashifu ili ajisikie vizuri na kuacha kujiongelesha mitaani.We
jamaa ni foo kabisa yani😂😂😂 umechemka kweli!
Wanaume za watu wanaongoza kwa usmati mwanzo mwisho na kuvaa nguo classic. Ndio chaguo la watoto wakike wengi ambao wanajua maisha.
Kijana Muuza simu used mbona hizi ni sifa za wanaume mafukara na wasio na mademu? Una hasira na sie tuliyooa, sema tukusaidieje.Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.
2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.
Povu ruksa [emoji851]
🙂🙂🙂🙂🙂Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.
2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.
Povu ruksa [emoji851]
[emoji23][emoji23][emoji23]Jaman wanaume waliooa na hawana hela ndio wanakua hivyo wenye hela wanapaukaje sasaDah wamepauka
Wanavitambi visivyo na mfumo
Wanavaa vitengeee
Dah
Kuoa na mashati ya vitenge ni kidole na Pete tena ukute mwanamke wako ni nguli wa vitenge utakutana hata na boxer za vitenge zinakusubir yeye akikibakiza kitenge Anakuwazia wewe au mtotoAcha upumbavu, mashati ya vitenge hayana uhusiano kuoa
Number 1 ni sahihi kabisa hasa ikiwa uliingia kwenye ndoa kabla hujajenga. Unajikuta pesa yote inaishia kwenye ada na ujenzi nguo zote zinapauka sana. kila ukipata pesa unawaza ni mifuko mingapi ya Cement. Wakati bachelor akiwa na laki tu anaingia vunja bei anaoga pamba za maanaWanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.
2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.
Povu ruksa [emoji851]
Mtua uz anataka tuache wake zetu[emoji23][emoji23][emoji23]Jaman wanaume waliooa na hawana hela ndio wanakua hivyo wenye hela wanapaukaje sasa
Mleta uzi kavurugwaMtua uz anataka tuache wake zetu
Unatimiza agizo la Mungu atakupa wa kufanana nae 🤣🤣Akuu sipatan na mahandsome mie nataka sura ngumu
Wee mtoto unalaana Nani avae nguo zimepauka?Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.
2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.
Povu ruksa [emoji851]
hii dunia ni kama jeraha tu..[emoji23]Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.
2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.
Povu ruksa [emoji851]
😀😀😀😀Unatimiza agizo la Mungu atakupa wa kufanana nae 🤣🤣
Im joking 🏃♂️🏃♂️