Huu Uzi umenifanya nimecheka mno...Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.
2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.
Povu ruksa [emoji851]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].weka picha tuone hapa.Acha uongo..Kaka zangu hawana hata sifa moja uliyotaja...
Kiufupi tafiti za uongo
AhahahahahaaAcha upumbavu, mashati ya vitenge hayana uhusiano kuoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwimba kwaya / fundi cherehani katika ubora wako
🤣🤣🤣🤣 Subiri kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].weka picha tuone hapa.
Nakazia aulize wadada kati ya married man na hawa wengine kina nani wako smart
Wi-Fi hiyo😁😁Halafu wana marinda usoni paji la uso😄😄
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dah ngoja wenye waume zao waje
Uwe na adabu mkuu.Yani mimi nivae shati la kitenge?Nimekuwa Mbilia Bel?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha upumbavu, mashati ya vitenge hayana uhusiano kuoa
Halafu wana marinda usoni paji la uso[emoji1][emoji1]
We
jamaa ni foo kabisa yani[emoji23][emoji23][emoji23] umechemka kweli!
Wanaume za watu wanaongoza kwa usmati mwanzo mwisho na kuvaa nguo classic. Ndio chaguo la watoto wakike wengi ambao wanajua maisha.
Mwimba kwaya / fundi cherehani katika ubora wako