Wanaume waliooa wanajulikana kwa kuwatazama tu

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!

1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.

2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.

3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.

4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.

5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.

6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.

Povu ruksa [emoji851]
 
1:wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku
Uwe na adabu mkuu.Yani mimi nivae shati la kitenge?Nimekuwa Mbilia Bel?😂😂😂😂
 
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku
2:wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao
Povu ruksa [emoji851]
Kwa mipasho hii yote, itoshe tu kusema tangu leo hii jina lako la ubatizo utaitwa "Adija Kopa" sababu ni adimu sana kukuta Me wa kibantu halisi toka Kanda ya ziwa TZ akiwa na vinasaba hivyo
 
We
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku
2:wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao
Povu ruksa [emoji851]
jamaa ni foo kabisa yani😂😂😂 umechemka kweli!

Wanaume za watu wanaongoza kwa usmati mwanzo mwisho na kuvaa nguo classic. Ndio chaguo la watoto wakike wengi ambao wanajua maisha.
 
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!

1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.

2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.

3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.

4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.

5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.

6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.

Povu ruksa [emoji851]
Mimi nina wake wawili na sina hata sifa moja hapo. Hiyo kuhusu Stress kila mtu anazo, kuhusu kuongea mtu peke yake ni kama tabia tu ya mtu, watu wengi wana ongea sana barabarani wenyewe.

1. Siyo kweli

2. Sina kitambi

3. Sina shati la kitenge hata moja, sababu nachojua mimi vitenge au kitenge ni vazi la mwanamke,kwahiyo kuvaa mwanaume ni kujifananisha na mwanamke. Kwangu mimi kuvaa kitenge ni haramu.

4.Hii si kweli

5.Wengine hatujui hata ladha ya bia ikoje wala pombe, sisi ulevi wetu ni kuoa tu na kula.

6. Wengine hatutumii lotion, tunatumia mafuta ya kula au mgando.

Kwahiy msichukulie haya mambo kirahisi rahisi tu. Watu tunatofautiana sana.
 
Back
Top Bottom