Wanaume waliooa wanajulikana kwa kuwatazama tu

Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!

1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.

2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.

3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.

4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.

5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.

6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.

Povu ruksa [emoji851]
Anzisha tu bendi ya taarabu
 
Wanaipenda sana JF😅😅😅😅
 
Tafiti zinasema wanaume waliosingle wananuka kama beberu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kijana wa ovyo unakuja na point zako

Anyway wale wote unakutana nao barabarani wanaongea wenyewe sio vichaaa wa kurogwa wengine ni ndoa zinawapelekesha

[emoji28][emoji28]
 
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!

1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.

2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.

3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.

4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.

5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.

6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.

Povu ruksa [emoji851]
Halafu wewe Dogo kua na adabu. Kama babako Yuko hivyo ni yeye. Na kitu ambacho hujui wanaumme walioa ndo wenye hela popote pale.
 
Eti anasema tuna vitambi vya kizembe, mara ooh mashati ya vitenge mara nguo zimepauka. Huyu mtu katumwa aisee maana mimi nipo tofauti sana, najikoki vilivyo coz najielewa na hoja yake hata kama tukianza kulijadili kwa kuwa objective, haina mashiko hata kidogo.
Ana hofu ya kuzeeka bila kupata mume kwa hiyo hawapendi waliooa kwa sababu wakimtongoza watamuacha halafu hata wasiooa wanamla na kumpotezea na wanaoa wengine
 
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!

1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.

2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.

3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.

4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.

5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.

6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.

Povu ruksa [emoji851]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom