Vijana, tafuteni hela muowe,
Mkiona mtu anaponda ndoa mjue maisha yanampiga, hana mbele wala nyuma
Vijana, tambueni kuwa hakuna mwanaume yoyote mwenye uchumi imara ambaye hajaoa, hayupo...pesa inaleta heshima ndani ya mahusiano
...msidanganyike na hawa loosers mitandaoni na vikampeni vyao vya "kataa ndoa" wao ndoa zimewashinda wanataka kumvuta kila mtu awe km wao (useless boys)
Kumbukeni pia ndoa inakuletea heshima ktk jamii unayoishi , Kwa manaume na mwanamke.
Mwisho
Ndoa is not for everyone, ..usijaribu kuingia mwenye ndoa km wewe si mwanaume uliyekamilika (a Man)
.km unajikubali wewe ni real man,"..tafuta mwanamke mwenye hofu ya kweli ya Mungu, anayekupenda owa 'tengeneza familia furahia maisha.
Otherwise you'll remain incomplete for the rest of your miserable life.
Sent from my ZTE Blade L210 using
JamiiForums mobile app