Wanaume waliooa wanajulikana kwa kuwatazama tu

Wanaume waliooa wanajulikana kwa kuwatazama tu

Kwa mipasho hii yote, itoshe tu kusema tangu leo hii jina lako la ubatizo utaitwa "Adija Kopa" sababu ni adimu sana kukuta Me wa kibantu halisi toka Kanda ya ziwa TZ akiwa na vinasaba hivyo
Adija kopa wa kiume au siyo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!

1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.

2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.

3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.

4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.

5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.

6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.

Povu ruksa [emoji851]

[emoji23][emoji23]
 
Kuna kaukweli fulani kwenye hoja zako, hata wakikupinga wengi tena hizo sababu, ingawa sio zote

Jamani ndoa isikieni tuu, ingawaje ni nzuri, katika huo uzuri ndiko kuliko na mengi magumu.
 
Kuoa na mashati ya vitenge ni kidole na Pete tena ukute mwanamke wako ni nguli wa vitenge utakutana hata na boxer za vitenge zinakusubir yeye akikibakiza kitenge Anakuwazia wewe au mtoto

[emoji28]
 
Kuna kaukweli fulani kwenye hoja zako, hata wakikupinga wengi tena hizo sababu, ingawa sio zote

Jamani ndoa isikieni tuu, ingawaje ni nzuri, katika huo uzuri ndiko kuliko na mengi magumu.

Ukweli wanaujua mkuu sema wameamua kujitoa tu ufahamu [emoji28]
 
We

jamaa ni foo kabisa yani😂😂😂 umechemka kweli!

Wanaume za watu wanaongoza kwa usmati mwanzo mwisho na kuvaa nguo classic. Ndio chaguo la watoto wakike wengi ambao wanajua maisha.
Mwambieeee
 
kwa niaba ya waliooa nasema thread closed maza fantaa kwa muuza simu ha ha ha
Kwa mipasho hii yote, itoshe tu kusema tangu leo hii jina lako la ubatizo utaitwa "Adija Kopa" sababu ni adimu sana kukuta Me wa kibantu halisi toka Kanda ya ziwa TZ akiwa na vinasaba hivyo
 
Back
Top Bottom