Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,215
- 54,549
Kwamba bado upo single😀😀😀😀😀dah ngoja wenye waume zao waje
Kwamba bado upo single😀😀😀😀😀dah ngoja wenye waume zao waje
Sina mume nung’aembe mieKwamba bado upo single
Uko na m handsome wakoSina mume nung’aembe mie
Wewe na waifu wako hamna shati la kitenge mnalovaaga kwenye sherehe za kanisani?😂Hajitambui uyo
Uko na m handsome wako
Uko na m handsome wako
[emoji23]Halafu wana marinda usoni paji la uso[emoji1][emoji1]
Mwambie huyo...labda wasio na hela, mwanaume mwenye hela zake anavaaje mipaukoWe
jamaa ni foo kabisa yani[emoji23][emoji23][emoji23] umechemka kweli!
Wanaume za watu wanaongoza kwa usmati mwanzo mwisho na kuvaa nguo classic. Ndio chaguo la watoto wakike wengi ambao wanajua maisha.
Huna adabu babako ndivyo alivyoWanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.
2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.
Povu ruksa [emoji851]
Kama yanguAkuu sipatan na mahandsome mie nataka sura ngumu
Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi!
1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku.
2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na mwili.
3:Wengi wao wanapenda kuvaa mashati ya vitenge hii inatokana na mialiko mbalimbali ya shughuli.
4:Wengi wao wana stress sana za maisha na mara nyingine huongea peke yao barabarani.
5:Ndio wanaongoza kukesha bar ama kurudi mida ya wanga nyumbani.
6:Wengi wao wamepauka maana lotion hazina ushirikiano kabisa na miili yao.
Povu ruksa [emoji851]
Mwambie huyo 😀😀😀unaweza kukutana na mume wa mtu OMG yuko smart, ananukia anavutia mpaka unajiuliza jamani mbona ameoa mapemaHizi dharau sasa. Yaani navyojikoki vile unataka kuniweka kwenye kundi boxi hizi?!
Mimi kwa kweli hapa sihusiki japo nimeoa.
Mwambie huyo [emoji3][emoji3][emoji3]unaweza kukutana na mume wa mtu OMG yuko smart, ananukia anavutia mpaka unajiuliza jamani mbona ameoa mapema
Nakazia aulize wadada kati ya married man na hawa wengine kina nani wako smartEti anasema tuna vitambi vya kizembe, mara ooh mashati ya vitenge mara nguo zimepauka. Huyu mtu katumwa aisee maana mimi nipo tofauti sana, najikoki vilivyo coz najielewa na hoja yake hata kama tukianza kulijadili kwa kuwa objective, haina mashiko hata kidogo.
Mie point namba moja imenifurahisha...1,3,6 zinaua mbavu aisee
Tuyajenge hapaSina mume nung’aembe mie
Married men wengi wao ni wako smart. Mtoa mada kaamua tu kuchangamsha gengeNakazia aulize wadada kati ya married man na hawa wengine kina nani wako smart
Kwa kweliMarried men wengi wao ni wako smart. Mtoa mada kaamua tu kuchangamsha genge
😀😀😀😀😀😀acha basiTuyajenge hapa