Wanaume waliokuwa wanahonga mitaji wadada mmeenda wapi?

Ama kweli vijana tuliozaliwa miaka ya 90s tuna gundu hasa warembo na mabebez jamani khaaa!
Enzi hizo bado binti mchuchu nakumbuka nilkuwa naona wadada wakihongwa magari ,nyumba,na kufunguliwa biashara mbali mbali kama maduka ya nguo urembo, saloon za kike, grocery n.k. na wapenzi wao hata kama hajakuoa wengine michepuko tu lakini wanajali.

Lakini saivi thubutu hata elf 10 wanaume wamekuwa wachunguu kama nini?

Mdada kama huna kazi nakwambia utalia mpaka upauke na usahau kabisa kupigiwa simu na mwanaume wako.
Wanaume kwanini mnakuwa wabahili why?

Wahenga mliopo Jf tupo pamoja eeeh enzi zenu mlikuwa hamna uchungu na hela au?

Wanaume saivi wanataka kuoa mwanamke mwenye kazi najiuliza why?

Mpaka mwanaume akufungulie biashara jamani sijui mpaka umroge awe zezeta wamekuwa wagumu wadada tunapata tabu sana.

Swali:
Wahenga mlikuwa mnapewa nn
mpaka mnahonga vitu vizur kwa mabebez enzi zenu ?

Demiss mm toka zamani nilikuwa nadate na wahenga na nimeolewa na muhenga full raha sitaki swali.

ONYOOOO:

Jikite kwenye mada msimuingize mme wangu hapa kwenye comment zenu za upuuzi mimi napenda kuandika mambo yaliyopo kwenye jamii na mengine nimepitia kwahiyo sitaki shobo za kumtag my hubby .
Ndoa na iheshimiwe na watu wote nikipigwa kibuti nitakuwa mgeni wa nan?

Demiss Malaikaa.
Haya asante, utafunguliwaje biashara wakati unatutishia mmeo? Unadhani sisi hatuna wenziwetu?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] charm dercor wee ....asante sana mama onyo limekaa vizuri
Nataka kucomment upupu, kaka si utanitetea?
 
Ama kweli vijana tuliozaliwa miaka ya 90s tuna gundu hasa warembo na mabebez jamani khaaa!
Enzi hizo bado binti mchuchu nakumbuka nilkuwa naona wadada wakihongwa magari ,nyumba,na kufunguliwa biashara mbali mbali kama maduka ya nguo urembo, saloon za kike, grocery n.k. na wapenzi wao hata kama hajakuoa wengine michepuko tu lakini wanajali.

Lakini saivi thubutu hata elf 10 wanaume wamekuwa wachunguu kama nini?

Mdada kama huna kazi nakwambia utalia mpaka upauke na usahau kabisa kupigiwa simu na mwanaume wako.
Wanaume kwanini mnakuwa wabahili why?

Wahenga mliopo Jf tupo pamoja eeeh enzi zenu mlikuwa hamna uchungu na hela au?

Wanaume saivi wanataka kuoa mwanamke mwenye kazi najiuliza why?

Mpaka mwanaume akufungulie biashara jamani sijui mpaka umroge awe zezeta wamekuwa wagumu wadada tunapata tabu sana.

Swali:
Wahenga mlikuwa mnapewa nn
mpaka mnahonga vitu vizur kwa mabebez enzi zenu ?

Demiss mm toka zamani nilikuwa nadate na wahenga na nimeolewa na muhenga full raha sitaki swali.

ONYOOOO:

Jikite kwenye mada msimuingize mme wangu hapa kwenye comment zenu za upuuzi mimi napenda kuandika mambo yaliyopo kwenye jamii na mengine nimepitia kwahiyo sitaki shobo za kumtag my hubby .
Ndoa na iheshimiwe na watu wote nikipigwa kibuti nitakuwa mgeni wa nan?

Demiss Malaikaa.
Mbali na yote yanayotokea ni wadada wa sasa hamuaminiki kabisa. Yaan mko kwenye mission wakati wote...
Hapa si wanawake wote wapo wanaojilelewa. Binafsi mimi apa si shida hata kukufungulia duka la nguo, tatizo je mnajiweka katika mazingira hani ili mwanaume akuamini kufikia kukufungulia mradi?

Kuna yanayoendelea ndani ya jamii kuhusu wanawake wa sasa japo si wote.
wanadada wengi wa sasa si waaminifu, wamekaa kipesa sana, yaani wanangalia mali na akishapata anasepa.

Mwanaume hata kama ana pesa akiangalia wanake wengi wanavyo behave wakishapata mali basi moyo unarudi nyuma, hata kama alikuwa na mpango.

So dada zangu jiwekeni kwenye mazingira yaku aminika na wapenz wenu, kuiga iga siju swag,life style na tabia chaf kutamfanya mpenz wako akukimbie alaf mbaki nalalamika .
 
Niliamua kusitisha zoezi la uhongaji kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu!
Hahaha nimekuelewa mheshimiwa. Binagsi nahonga yule ambae anajielewa na anaonyesha kujitambua. Lakin ukiniletea usista duu sitoi hata 100
 
Ama kweli vijana tuliozaliwa miaka ya 90s tuna gundu hasa warembo na mabebez jamani khaaa!
Enzi hizo bado binti mchuchu nakumbuka nilkuwa naona wadada wakihongwa magari ,nyumba,na kufunguliwa biashara mbali mbali kama maduka ya nguo urembo, saloon za kike, grocery n.k. na wapenzi wao hata kama hajakuoa wengine michepuko tu lakini wanajali.

Lakini saivi thubutu hata elf 10 wanaume wamekuwa wachunguu kama nini?

Mdada kama huna kazi nakwambia utalia mpaka upauke na usahau kabisa kupigiwa simu na mwanaume wako.
Wanaume kwanini mnakuwa wabahili why?

Wahenga mliopo Jf tupo pamoja eeeh enzi zenu mlikuwa hamna uchungu na hela au?

Wanaume saivi wanataka kuoa mwanamke mwenye kazi najiuliza why?

Mpaka mwanaume akufungulie biashara jamani sijui mpaka umroge awe zezeta wamekuwa wagumu wadada tunapata tabu sana.

Swali:
Wahenga mlikuwa mnapewa nn
mpaka mnahonga vitu vizur kwa mabebez enzi zenu ?

Demiss mm toka zamani nilikuwa nadate na wahenga na nimeolewa na muhenga full raha sitaki swali.

ONYOOOO:

Jikite kwenye mada msimuingize mme wangu hapa kwenye comment zenu za upuuzi mimi napenda kuandika mambo yaliyopo kwenye jamii na mengine nimepitia kwahiyo sitaki shobo za kumtag my hubby .
Ndoa na iheshimiwe na watu wote nikipigwa kibuti nitakuwa mgeni wa nan?

Demiss Malaikaa.
Bado tupo isipokuwa nanyinyi uaminifu umewashinda mtu anaghalimikia kila kitu, akitaka papuchi mnamblock, sasa si bora apotezee akakae na mamisapu wake/ make kila siku uhakika upo wa kubanjua. ila akijaribu kupiga simu not reachable.
 
Haya asante, utafunguliwaje biashara wakati unatutishia mmeo? Unadhani sisi hatuna wenziwetu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yeye mwenyewe keshanifungulia tayari cafe ya mama ntilie
 
Back
Top Bottom