sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,048
- 5,070
Mwenyekit wangu wewe ni exceptional kwenye hili,ntaachaje kukuhonga Mwenyekit!Sababu gani tena unanitisha!
Mwenyekit wangu wewe ni exceptional kwenye hili,ntaachaje kukuhonga Mwenyekit!Sababu gani tena unanitisha!
Hahaha,ndio hivyo Mkuu,unahonga/kumpa anayejitambua tu!Hahaha nimekuelewa mheshimiwa. Binagsi nahonga yule ambae anajielewa na anaonyesha kujitambua. Lakin ukiniletea usista duu sitoi hata 100
Njoo pm na progress ya mradi ambao umeshaanza ku-operate..Siwaoniii
Piga umbwa hao...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kipigo chake cha mbwa koko
Tatizo unamwitaje muhongaji kibamia hiyo ndiyo source haiwezekani nikuonge mtaji kwa kunisave my Kibamia ina maana nikihonga nitakuwa nimehonga Bwawa la kuogolea kuweni wabunifu.Ama kweli vijana tuliozaliwa miaka ya 90s tuna gundu hasa warembo na mabebez jamani khaaa!
Enzi hizo bado binti mchuchu nakumbuka nilkuwa naona wadada wakihongwa magari ,nyumba,na kufunguliwa biashara mbali mbali kama maduka ya nguo urembo, saloon za kike, grocery n.k. na wapenzi wao hata kama hajakuoa wengine michepuko tu lakini wanajali.
Lakini saivi thubutu hata elf 10 wanaume wamekuwa wachunguu kama nini?
Mdada kama huna kazi nakwambia utalia mpaka upauke na usahau kabisa kupigiwa simu na mwanaume wako.
Wanaume kwanini mnakuwa wabahili why?
Wahenga mliopo Jf tupo pamoja eeeh enzi zenu mlikuwa hamna uchungu na hela au?
Wanaume saivi wanataka kuoa mwanamke mwenye kazi najiuliza why?
Mpaka mwanaume akufungulie biashara jamani sijui mpaka umroge awe zezeta wamekuwa wagumu wadada tunapata tabu sana.
Swali:
Wahenga mlikuwa mnapewa nn
mpaka mnahonga vitu vizur kwa mabebez enzi zenu ?
Demiss mm toka zamani nilikuwa nadate na wahenga na nimeolewa na muhenga full raha sitaki swali.
ONYOOOO:
Jikite kwenye mada msimuingize mme wangu hapa kwenye comment zenu za upuuzi mimi napenda kuandika mambo yaliyopo kwenye jamii na mengine nimepitia kwahiyo sitaki shobo za kumtag my hubby .
Ndoa na iheshimiwe na watu wote nikipigwa kibuti nitakuwa mgeni wa nan?
Demiss Malaikaa.
Nkishakupatia MIMBA nakupa gari na nyumba just for you n the lil' angel!Tunataka gari nyumba na biashara hatutaki mimba
Njoo nikuhonge torori la kubebea mizigo .hawapogo tena kwenye sayari hiiView attachment 802519
[emoji12] [emoji12]Njoo nikuhonge torori la kubebea mizigo .
Wako Jupiter etii[emoji23]hawapogo tena kwenye sayari hiiView attachment 802519
Nawasi wasi ila ngoja nijaribuUtawezaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeWako Jupiter etii[emoji23]
Uwiiii nimeona hiyo clip,. Hahahahaa nimewaza tuu nikajisemea moyoni waliofanya hivi wengi ni "wafu" sasa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona ee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haloooo mumuUwiiii nimeona hiyo clip,. Hahahahaa nimewaza tuu nikajisemea moyoni waliofanya hivi wengi ni "wafu" sasa...