Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Binadamu wote ni similar principle
Mwanaume asie mtulivu anataka mwanamke mpole for the long run
Mwanaume mpole anaona bora machepele amchangamshe
you still need to learn mkuu nothing can be compared with women mind set its special and complicated which needs to be guided and little force needed to make them feel special which they think is real love...
 
Huyu ni wapili sasa, nikapiga story na mashosti walowahi kudate wachaga story is still the same. Nyie wenyewe mmethibitisha kwenye uzi huu kuwa mmechangamka kwenye utafutaji tu sio upande wa pili.
Nani alothibitisha, wachaga wengi tu wamezaliwa mbali na moshi, sasa iweje wote wawe sawa, elezea kinagaubaga huko kuchangamka, kivipi yani. Cuddling, kissing every time, kudekadeka, kubebana, kudinyana, kuchangamka neno pana.
 
Huo us..nge sijui wakuwa fun na makorokoro kibao kawatafuteni machoko wa pwani huko n.k

Sisi tupige tako mbili tatu wazungu hawa hapa..tunaendelea na mbishe nyingine,ukitaka kaliwe nje huko chiu si wako
Volume brother volume ipo juu punguza kidog
 
Nani alothibitisha, wachaga wengi tu wamezaliwa mbali na moshi, sasa iweje wote wawe sawa, elezea kinagaubaga huko kuchangamka, kivipi yani. Cuddling, kissing every time, kudekadeka, kubebana, kudinyana, kuchangamka neno pana.
hawna lolote kesha pata mwanaume mwingine sasa anajifanya hawajachangamka wasenge hawa wadada wasiku hizi
 
Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all

Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Tricky contradiction
 
Kwani mimi muda wangu haupotei?
Kwa iyo ndio unamlipizia. Hehee, you're not serious, the earlier de better, kabla bonding haijawa kubwa sana na wewe upate type yako mapema, uwapembue uwapendao mapema mapema, wengine ukiwapotezea muda kama unavyoplan, wanakutoa roho.
 
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.

Unajua ili useme chakula hiki ni kibaya ni lazima umeshawahi kula chakula kitamu. Hauwezi kusema chakula ni kibaya huku haujui kitamu kipoje.
Hauwezi kusema mwanaume huyu amepooza, au hajui mapenzi kama haujawahi kuwa kwenye mahusiano na watu kadhaa ukaona utofauti.

Wanaoweza ni kwa sababu wanaume wao hao hao ndiyo waliowafundisha mapenzi yaani wameanza nao na wanaendelea nao. Huwa hawaonji nje ili kufananisha kama ladha ni tofauti au lah ndiyo maana tunaweza.

Wasio weza ni wale ambao wameshaonja ladha mbali mbali. Ni sawa na mtu anasema mtu ana kibamia, hawezi kusema hivyo kama hajawahi kukutana na kubwa. Lakini tungekuwa tunatulia kwenye mahusiano haya mambo ya kufananisha fananisha na kugundua kasoro za mwenzako yasingekuwepo.
 
Utabaki kuwa juu my dear ,juu kileleni dear
 
Raha ya mwanaume awe jeuri jeuri walau kidogo
At least wewe umekuwa muwazi na hiki ulichokiandika hapa ni uhalisia mtupu

Wale wanaosemaga sijui gentleman na blah....blahh zingine ni wanafiki watupu, hakuna mwanamke anaempa genuine respect mtu anye jifanya nice guy
 
Back
Top Bottom