Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Sitaki kusema wanawake wote ..

Lakini huyu Dada akili zake ni mbovu sana ..

Kwanini ? Unaposema mtu kapooza , wewe upande wako umechukua hatua gani kumchangamsha, au unadhani utakutana na a perfect man?

kudate wachagga wawili Ndio kunakupa uwezo wa kuhukumu kabila lote (akili mbovu sana hii).

Unakiri kabisa anakupenda lakini kwako upendo sio kipimo ila kipimo chako ni uchangamfu (Mungu akusamehe bure )

Kama kweli umemchoka muache, shida yako si unataka aliyechangamka ...basi nenda uakaolewe na Dj....
 
mwanamke anayo nafasi kubwa kumpeleka mwanamme kwenye njia iwafaayo wote......bado unayo nafasi.....ila note that sio wachagga wote.....
 
Sitaki kusema wanawake wote ..
Lakini huyu Dada akili zake ni mbovu sana ..
Kwanini ? Unaposema mtu kapooza , wewe upande wako umechukua hatua gani kumchangamsha, au unadhani utakutana na a perfect man?
kudate wachagga wawili Ndio kunakupa uwezo wa kuhukumu kabila lote (akili mbovu sana hii).
Unakiri kabisa anakupenda lakini kwako upendo sio kipimo ila kipimo chako ni uchangamfu (Mungu akusamehe bure )
Kama kweli umemchoka muache, shida yako si unataka aliyechangamka ...basi nenda uakaolewe na Dj....
Nyie wenyewe mmenithibitishia humu kuwa mmepooza. Hivyo nilikuwa sahihi tangu awali.
 
Me nadate manka mmoja ila nilichogundua nyinyi mabinti wa kichaga mnapenda sana mtu aliye romantic sana, hata km ana kibamia ila mwanaume akiwa romantic binti wa kichaga anapenda sana, na pia binti wa kichaga anapenda kuchezewa.....vzr hadi aive, then wakati ngoma inaingia usiingize yote piga juu pale binti wa kichaga anaenjoy sana. Kabila langu ni .....................otea ila cyo mchaga
 
I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
Wewe nawe ni kahaba kama walivyo makahaba wa siza mori, ni kwanini usubiri akumalizie nyumba yako ndio umuache.
Endelea kuiumiza k yako kwa sababu akili hauna
 
Back
Top Bottom