Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Wewe nawe ni kahaba kama walivyo makahaba wa siza mori, ni kwanini usubiri akumalizie nyumba yako ndio umuache.
Endelea kuiumiza k yako kwa sababu akili hauna
Mbona hajasema Kama anajengewa?
 
Jitahidi kwenda nae baa na rafiki zake..kula kupiga story kuangalia mpira
Na kama anajenga kwenda site na mwisho wa mwaka kwenda Moshi
Huko utaenjoy

Mana hawajuagi kupeleka mtu dates wala nini
Sana sana baa kwny pombe baaas
Inshort hawana mambo ya kizungu
Hahah huo mda wenyewe tunautoa wapi mkuu?good time tutaikuta uzeeni Mungu akituwezesha otherwise ni pesa tu inatafutwa kwa sasa kuweka weka assets kwa ajili ya watoto Mchagha hana ile “mtoto atajitafutia mwenyewe” mtoto kesho yake anaiandaa baba yake kama baba zetu walivyotuandalia sisi.
 
Nimeelezea kutokuchangamka kwake, hayo mengine ni yako mkuu.
me sijalewa mkuu wangu maana yakuotkuchangamka yaani akikouna hafurahii au hakuongeleshi au inakuwaje yaani ungeweka mfano kitukio kigog ambacho kina onesha kutokuchanagamka kake maybe tungeelewa wengi hivi hivi ni basi...halafu kwanini unasubiri mpaka umalize nyumba yako ndo umuache kwanini sasa hivi usimuache?
 
Huyu mshkaji ni rafiki wa rafiki yangu ila kututukana bila sababu kiukweli amenichafua.
Msamehe tu mkuu, sijui amevurugwa na nini. Itakuwa ni wale wachaga wasio jua mapenzi na pesa pia hawana. Hivyo anaumia kukosa vyote.
Wanaume wa Pwani ni watu wema kabisa, hawana shida na mtu. Kwanamna ulivyomjibu unathibitisha hilo.
 
Back
Top Bottom