Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Wewe nawe ni kahaba kama walivyo makahaba wa siza mori, ni kwanini usubiri akumalizie nyumba yako ndio umuache.
Endelea kuiumiza k yako kwa sababu akili hauna
Vipi ushafika hapo sinza kuuza au bado unajipodoa?

BTW hajachangia hata tofali kwenye ujenzi wa nyumba yangu.
 
Mbona hajasema Kama anajengewa?
Wamejipanikisha tu, sikuwahi kumwomba pesa tangu nimeanza nae mahusiano. Nyumba ninayojenga hajawahi kuchangia hata msumari. Sikutaka tu kumhusisha maana nilijua kabisa sina future nae hivyo sikutaka kujiongezea dhambi.
 
me sijalewa mkuu wangu maana yakuotkuchangamka yaani akikouna hafurahii au hakuongeleshi au inakuwaje yaani ungeweka mfano kitukio kigog ambacho kina onesha kutokuchanagamka kake maybe tungeelewa wengi hivi hivi ni basi...halafu kwanini unasubiri mpaka umalize nyumba yako ndo umuache kwanini sasa hivi usimuache?
Dah!
 
Habari wadau wa MMU.

Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.

Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.

Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤

Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Sasa si ungesema kama ndio sababu inayokufanya uone hafai kukuoa. Kwanini uliacha kulisema hili sikuile
 
Itakuwa wanaume wa pwani waliwahi kumchukulia mwanamke, ana hasira nao sana.
Upo uzi humu ulikuwa unawazungumzia wanaume wa pwani. Sifa zetu tupewe jamani, wanawake wanahitaji kubembelezwa na kuenziwa. Mwanamke ni mtu muhimu sana kwa ustawi Bora wa mwanamme.

Ili waweze kutustawisha ilivyo sawa basi inabidi tujue namna njema ya kuwa-handle pia.

Acha nisiseme mengi
 
Msamehe tu mkuu, sijui amevurugwa na nini. Itakuwa ni wale wachaga wasio jua mapenzi na pesa pia hawana. Hivyo anaumia kukosa vyote.
Wanaume wa Pwani ni watu wema kabisa, hawana shida na mtu. Kwanamna ulivyomjibu unathibitisha hilo.
Ki ukweli mshkaji amezingua ila yote sawa tu .

Naamini atapata salaam zetu
 
BIBIE LEO UNALO TUNAKUSHUKIA JUMLA JUMLA UMETOCHOKONOA SASA TUNAKUJA FULL MBATA ETI JAMAA KAPOOZA SASA KAMA UNA K KAMA MSASA JAMAA ANAUGULIA MAUMIVU
 
yaani hajachanga mka kivipi? ukute jamaa ni gentlemen na nice guy wanawake huwa hawawapendi wanaume wa namna hii...njia ya nzuri ya kuwa na mwanamke act, be rough, **** her good, give her money she will be your slave
Wana tabu sana wanawake wa kiafrika. Mwanamke anapopendwa haoni huwa anapenda anapoteswa teswa hivi. Yani mwanaume awe na mapozi pozi hivi ndio mwanamke hapindui hapo.😂😂😂
 
Back
Top Bottom