Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
Kwa nini kila siku Wachaga tu?
Pole sana TF,Hahaha!! Sio kuchoka mwili na roho tu Smile acha tu najitahidi kurudi katika hali ya kawaida..
ahahaa dah kumbe wale wazee ni sooo mitusi yote hii waliiitoa wapi jamani?
Kwa nini kila siku Wachaga tu?
Hebu twende kwenye ule uzi tukayaongee haya mambo yetu..........achana na huyu malabuku, blalyfuu!!
Hahaha!! Sio kuchoka mwili na roho tu Smile acha tu najitahidi kurudi katika hali ya kawaida..
asante sana kwa kutuwakilisha mkuu. utarudi tu katika hali ya kawaida ingawa yalotukuta ni magumu.ila kwa imani tutayashinda.so umekubali offer yangu au unamuogopa lizzy?Hahaha!! Sio kuchoka mwili na roho tu Smile acha tu najitahidi kurudi katika hali ya kawaida..
Kwa nini kila siku Wachaga tu?[/QUOTE
Watu hurusha mawe kwenye mti wenye matunda......
kweli si unakumbuka ule mchezo wa marite marite? kumbe bwana ilikuwa ni am i right?Hahahaha ndo ujue kimombo kwetu kitamboooo. .
Si wazungu bana.
:lol::lol::lol:asante sana kwa kutuwakilisha mkuu. utarudi tu katika hali ya kawaida ingawa yalotukuta ni magumu.ila kwa imani tutayashinda.so umekubali offer yangu au unamuogopa lizzy?
kweli unadhani watu wanaweza kuzungumzia wangoni hapa? kuna nini kule nothing over nothingKwa nini kila siku Wachaga tu?[/QUOTE
Watu hurusha mawe kwenye mti wenye matunda......
nimekusoma kaka.pouwa:lol::lol::lol:
Poa ngoja niwe ngangari sasa sijui ndio namna hii...:noidea:We nawe unadeka deka nini? Embu kua ngangari bana.
ahahaa dah kumbe wale wazee ni sooo mitusi yote hii waliiitoa wapi jamani?
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI