Eeh nilisahau na muuzaji akiwa hana wanampitaππNa limao π π π nilishangaa sana
Bad enough hadi utumbo wanakulaπ€£π€£Ila maisha ya Dar, ni full tafrani, eti vitu vya kuku ambavyo huku mkoani tunatupa, km utumbo, kichwa, na miguu,
Wao ndo wanatengeneza vizuri na kulaa.
πππππ Lol
Hapo sasa, ππππBad enough hadi utumbo wanakulaπ€£π€£
Wenyewe wanaita kulumbuaa ..ukiwakuta wanachovya kwenye pilipili hvyo vi miguu huwaambii kituππHapo sasa, ππππ
ππππWenyewe wanaita kulumbuaa ..ukiwakuta wanachovya kwenye pilipili hvyo vi miguu huwaambii kituππ
Hawa jamaa wa ajabu! Badala ya kula vichwa vya samaki, wanakula vya kwiyoo...Ila maisha ya Dar, ni full tafrani, eti vitu vya kuku ambavyo huku mkoani tunatupa, km utumbo, kichwa, na miguu,
Wao ndo wanatengeneza vizuri na kulaa.
πππππ Lol
25 C` Mkuu..Leo ujotojoto ni nyuzi ngapi?
soma uelewe jinga wewe.Mkuu tulia kwanza ueleze hoja yako taratibu, enhe unataka kusemaje?
wacha wee mtoto mzuriiMimi kuwe na baridi au joto naoga maji ya moto nishazoea toka utoto
Tulia, tulia, mkuu sikuelewi unakuja juu sanasoma uelewe jinga wewe.
Tumezoea 30 plus, hyo 25 c kwetu ni baridii sana..Joto lote hilo umekosaje kuoga?