Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,173
NIKABAKI NAJIULIZA HIVI KWELI WANAUME HAWANA TENA UWEZO WA KUSIMAMIA KUCHA NA KUMRIDHISHA MWANAMKE BILA BUSTER YA AINA YOYOTE? HIVI UWEZO UMEPOTEA KIASI HICHO AMA NI NINI KINACHOTAFUTWA?
ukweli ni kuwa hao ni baadhi tu ya wale uliokutna nao..............lakini wako wanaongelea vipandisha midadi huku hata hawavihiaji kabisa...............kwa hiyo kauli siyo lazima ielezee ukweli wakati mwingine ni lugha za kusogeza muda..................wanaozidiwa na makulaji ni wachache na hao utawaona kwa kubeba na kujivunia vifriji...............................