Wanaume uwezo umeshuka?

Wanaume uwezo umeshuka?

Nimejiuliza sana hiki kitu na nikashindwa kupata majibu sahihi na nikaona nishee na wanaJamii wenzangu labda kuna jibu ama maelezo sahihi

Weekend iliyopita kwenye mida ya saa tano asubuhi tulikuwa kwenye Ka-bar maeneo ya home, watu wanakamata supu na kupata mojamoja, mara akaingia jamaa na kuagiza kavaluer nakuanza kunywa kwa fujo, Rafiki yake akaingia na kumuuliza kwa sauti "vipi mtalaam una kazi nini,mbona asubuhi asubuhi?" jamaa akajibu "kamanda we subiri hapohapo"

Baada ya kama dakika kumi akaingia dada mmoja wa haja yaani kama ni namba nane basi ni ile ya ukweli, mara ka-bar chote kakawa kimya na kila mtu akawa anamkodolea macho Yule mdada. Mdada akaenda straight kwa jamaa anayekunjwa Kivaluer na kuchukua fedha na kisha akatoka huku akimwambia jamaa saa saba utanikuta kule.

Baada ya Yule dada kutoka tu ka Bar chote kakaripuka na maongezi wakimshauri Yule jamaa,
"huyo unatakiwa umpigie KOnyagi kubwa, hapana hiyohiyo valuer na redbull, yaani mimi nikimpata nampigia kitimoto nusu na Valuer mbili, ahaaa mambo yote mchuzi wa pweza na Korosho, ahaa mimi ningepiga safari mix Konyagi"

NIKABAKI NAJIULIZA HIVI KWELI WANAUME HAWANA TENA UWEZO WA KUSIMAMIA KUCHA NA KUMRIDHISHA MWANAMKE BILA BUSTER YA AINA YOYOTE? HIVI UWEZO UMEPOTEA KIASI HICHO AMA NI NINI KINACHOTAFUTWA?
Uwezo ni pesa tu hizo mbwembewe ziingine ni kunitafutia kigo kwenye 6 kwa 6

Cc: ephen_
 
Una akili sanaa
Pesa ndio mpango mzima
 
Wanasema jf ya zamani ilikua ya moto ndo nakagua kama ni kweli😂
Tafuta nyuzi zangu za zamani utashuhudia mkuu...🤣
Skuizi Jf gaina quality kama pale kale pia watu hawaheshimiani ndio maana wakongwe wengi wamebaki kua wasomaji na masikhara tu
 
NIKABAKI NAJIULIZA HIVI KWELI WANAUME HAWANA TENA UWEZO WA KUSIMAMIA KUCHA NA KUMRIDHISHA MWANAMKE BILA BUSTER YA AINA YOYOTE? HIVI UWEZO UMEPOTEA KIASI HICHO AMA NI NINI KINACHOTAFUTWA?
Labda umuulize ephen_
 
Back
Top Bottom