Wanaume uwezo umeshuka?

Wanaume uwezo umeshuka?

bebii, are u baby, or what..??? hakuna kitu kizuri kwa mwana mama kufika climax.. na areal man ( i'm , no need to booster ), atajua kama mwenza wake amefika kileleni.. its natural... u do not need to fight.. differentiate sex and making love... that's where u will understand ... no kukomoana, no booster, no nothing...
cheeers
ooh so kuna sex na making love? can u give mi the differences?

Hapo kwenye rangi ndio maneno yote yapo hapo pia uvutaji wa sigara ambao unamaliza sana nguvu lakini watu wamo tu wanamaliza mapacket mawili au hata matatu kwa siku.

Kweli kabisa kaka na bado tunajiletea matatizo tunatafuta wachawi ni nani na waganga wamegundua matatizo yaliyopo wanazidisha kazi

ooh so kuna sex na making love? can u give mi the differences?

yeah kwani babiii hujui kuwa kuna sex na kumake love
Kama sijakosea sex ni pale ambapo hakuna cha kufanya sijui foreplay wala nini yaani unaingia kitandani mambo yanaanza hakuna kumuandaa mwenzako wala nini na hii sana sana iko kwa wale wanaofanya biashara
Kumake love ndio haswa yaani mnajiandaa kabisa kwamba today we are going to make love na maandalizi yanaanza mapema sio kukurupuka na mnajipa muda wa kufanya maandalizi na inakuwa haswa mnamake love maana kila mmoja anardhika

yeah kwani babiii hujui kuwa kuna sex na kumake love
Kama sijakosea sex ni pale ambapo hakuna cha kufanya sijui foreplay wala nini yaani unaingia kitandani mambo yanaanza hakuna kumuandaa mwenzako wala nini na hii sana sana iko kwa wale wanaofanya biashara
Kumake love ndio haswa yaani mnajiandaa kabisa kwamba today we are going to make love na maandalizi yanaanza mapema sio kukurupuka na mnajipa muda wa kufanya maandalizi na inakuwa haswa mnamake love maana kila mmoja anardhika
thanx ngoja nitafute wa kumake nae basi then nitakuja nikupe majibu

thanx ngoja nitafute wa kumake nae basi then nitakuja nikupe majibu

Kwa nini utafute wakati tupo bana
We jimuvuzishe kwangu tukamake love Bebiii
Na hutosahau na utajikuta hata ulokole unakutoka

sio sasa 2020

Mhhh huo mwaka mhhh ngoja nipige mahesabu kama nia na lengo la mwaka huu linawez akusubiri mwaka huo
Naona mahesabu yamekataa
Maana siwezi vuimilia ugumu mpaka 2020

Mhhh huo mwaka mhhh ngoja nipige mahesabu kama nia na lengo la mwaka huu linawez akusubiri mwaka huo
Naona mahesabu yamekataa
Maana siwezi vuimilia ugumu mpaka 2020
u can nisubiri bwana hapo nitakuwa saizi yako

Hivi wewe ni under age au ushavuka age of majority
na jua kwamba sheria inasema miaka 15 unaweza kuolewa kwa ridhaa ya wazazi
mimi niko 30 wewe unatakiwa vitu vya 38 kwenda juu hutaniweza wewe?

mimi niko 30 wewe unatakiwa vitu vya 38 kwenda juu hutaniweza wewe?

Mimi bado ndo nimeingia age of majority so bado damu inachemka mbaya ndo maana nasema 30 minutes utaomba maji ya kunywa

wanawake wa siku hizi wamejiharibu.. ushike paji la uso ..uende chini kati.. anakushangaaa tu yani wamejiharibu wao wenyewe... sijui Why?

kwa wanaume mlio oa na wanawake mliolewa hili tatizo naona halipo, coz ukishamzoea mwenzio unakua unamjua vizuri sana na tena kuanzia bao la pili huwa linachelewa sana mwenzio anaweza fika mpaka akachoka sana na kuanza kukuomba ufike maana anaanza kukaukiwa.

Lakini kama ni GF mnakutana guest short time na unakuwa na maham pale inakuwaga ni fujo tu hamna lolote, wataalam wanashauri ukianza ku-do ni vizuri ufanye mara tatu kwa wiki au zaid na kila zoezi linapofanyika isiwe chini ya bao mbili, nakuhakikishia ukiwa unapiga hiyo time table huitaji mazoezi mengine, hilo ni zoezi tosha.

cha muhim ni kujiamini, kula vyakula vizuri na kama hali yako ya si nzuri fanya kegel exercise, nikipata mda ntawawekea nondoz za ukwee

Hayo matusi sasa,haimaanishi tunaofanya kegel kila siku "hali zetu ni mbaya"
Kegel ni mazoezi kama mazoezi mengine,hauhitaji kuandikiwa na daktari ndo uanze kukimbia uwanjani mara 20,...
kama wewe ni mwana mazoezi utakimbia tu na usipofanya hujisikii fresh.

I kegel everyday,but that doesn't mean kwamba sijiamini,....ni mazoea tu toka enzi hizo sijui kama
ninachofanya ni kegel!!!!

Kuna wengine naturally weak, kuna mkaka mmoja tall, black, handsome, hana kitambi na anaingia gym, nilimuadmire da first day I saw him so baada ya muda we fall, mmmmh less than a second was off! nikadhani ugeni then again less than a second dah nilimuambia tu basi sitaki tena, yaani, tumebaki just friends will nt repeat hata aje na private jet! lol

Please,tatizo lake ni dogo sana!!!!!!
Kama ni rafiki yako kweli msaidie kwa hilo (unaweza),....

Kwa wenzetu wachina kila kiungo cha mwili kina mazoezi,sisi tumekomalia kukimbia (which is genera)
na kujazia vifua (gym),,,.....

Wenzetu vidole vina mazoezi yake,shingo,miguu,sikio nk
vivyo hivyo,kama unafanya mazoezi mengine unasahau kufanya mazoezi ya "mdudu" wako
inaweza kukufanya udharaulike (kama uliwahi kua addicted na masturbation),....

Usimlaum,ila jidai kuongelea kitu kinaitwa kegel,na mshauri atafute jinsi ya kufanya hayo mazoezi
utakua umemsaidia milele (hata wewe unaweza kuyafanya haya)

Sasa hapo ndo ulifanya kosa. haya mambo ni ya kushare na kufundishana. Ungekaa nae ukamweleza tatizo lake na kuw aanawahi kufika na ukamfunsisha njia za kuzuia hilo tatizo ungekuwa umemsaidia sana. Maana kumwacha na tatizo lake hujamsaidia ila ndo umezidi kumharibu. Hilo ni tatizo na mwapasa kusaidiana kulitatua na sio kumkimbia

That's why i love my woman

ukweli ndo huo banaaa....NGUVU ZIMEWASHUKA UJANJA MWINGIIII HAWNA LOLOTE NADHARIA ZMEWAJAA VTENDO NEHIIIII....wako tofauti na babu zetu zaman..(dont ask me ulijuaje ao mababu...)

mavyakula aya yanawaharibu ..mwanaume daily mnapanga folen wote kwenye chps mayai..no mazoez no wat..wengne sasa akitoka ndani ya gari kafka ofcn chapat 4 nyama furushi akimaliza apo mchana baga,au wali nyama huoooo na bia za kushushia ...jion ikifika ndan ya gari kwa masssawe mbuzi paja na bia za kutosha.....yaan yeye ni kula kulala hana zoez hata kdogo ..sasa apo unategemea nin?

lakin wazee wetu zaman...asubui ni kitu fresh km ni ugali dona na mboga chukuchuku then uyooo shamba...na shamba lenyewe lipo km 10 toka home anatembea ( jogng iyo) kafika shamba kaz nzito (ni zoez tena ilo) anarud tena home km 10 ... akirud home bas km ni pombe basi pure azna kemikali mbege sjui dengua ,ulanzi...kisusio chake mboga za majan ...sasa apo unategemea nin?mtu anakuwa very strong..LAKIN MFUMO WA MAISHA YA SASA NI TAFAUUUT kabsa ..matokeo yake ndo ayo mtu kufanya mazoez inabd awe amekata shauri toka moyon la sivyo matokeo yake ndo ayo...full kunywa konyagi..pweza...lasivyo mtarimbo doro km si doro 1minute mtarimbo.....WANAUME FANYEN MAZOEZ KDG YATAWASAIDIA ..MAISHA ya ofcn bar home yatawakost...mahaus boy full kufanya kaz zote...POLEN.

M NOT READY FOR BATTLE...aman aman km nimekukwaza nipotezeee me love u...

mmmhh wewe mumeo anapata tabu kama ni hv duh! teh teh teh

hamna mahali imeelezwa hizo pombe na ulivyovitaja vinaboost sex drive,ama uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume...ni imani tu au ni katika jitihada za kuondoa aibu wakati wa kudo.

hamna mahali imeelezwa hizo pombe na ulivyovitaja vinaboost sex drive,ama uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume...ni imani tu au ni katika jitihada za kuondoa aibu wakati wa kudo.

sasa mbona vinatumika kwaufanisi? maana kama isingekuwa ufanisi wasingevitumia

kiukwel wanawake wa sasa ivi wamekua SUGU.
Nilikua Chimala mbeya
Nanilipata bahati ya kupata kidosho wa kuvinjari nae,lakn cha ajabu nikuwa yule dada ni sugu,nilikua namridhisha vizuri,na nikimaliza nilikua namuuliza kama katosheka,
Kiukwel wamekua sugu maana UNAMPUMULIa KISOGÖNi bt nî sugu,hawasikii cha muogo wa
Jang'ombe wala wa mwananyamala.

Kwaiyo Usugu wa kutosikia mikiki ya muogo wa jang'ombe ndo mana tunaonekana hatuKAZI NATI VIZURI.

Back
Top Bottom