Mkuu haijaniuma, ila Mkimbizwa mbio amenipa pole as if me ndio mfuga kitambi na Mla Booster (mchuzi wa Pweza, Konyagi, Valuer)
Mkuu nilitaka nishangae kuwa na wewe ni mmoja wa wale wa dakika mbili hoi mpaka kesho yake
Mkuu haijaniuma, ila Mkimbizwa mbio amenipa pole as if me ndio mfuga kitambi na Mla Booster (mchuzi wa Pweza, Konyagi, Valuer)
Mkuu nilitaka nishangae kuwa na wewe ni mmoja wa wale wa dakika mbili hoi mpaka kesho yake
Waliofit huwa Hawasemi Mkuu, wenye shida ndio utawaona vijogoo, kutwa nzima kujisifia, lakini ikifika jioni wa kwanza kwenye pweza, tulishamchangia jamaa nauli kituo cha ubungo, fedha yote kamaliza kwenye dawa (mchuzi wa Pweza)
umeona eeeh walewale pole sanaNa hiyo inafanya kazi kama viagra kaka ni kitu cha muda mfupi then kinakatika hakuna suluhisho atakalolipata zaidi ya kuridhika kwa usiku mmoja tuu na then hakuna kitu kesho yake na ukishakuwa muumini kuacha hiyo kitu ni mbaya sana
umeona eeeh walewale pole sana
kwani mapenzi ni adhabu mpaka kunyweana vinywaji ili kukomoana?
ukweli ndo huo banaaa....NGUVU ZIMEWASHUKA UJANJA MWINGIIII HAWNA LOLOTE NADHARIA ZMEWAJAA VTENDO NEHIIIII....wako tofauti na babu zetu zaman..(dont ask me ulijuaje ao mababu...)
mavyakula aya yanawaharibu ..mwanaume daily mnapanga folen wote kwenye chps mayai..no mazoez no wat..wengne sasa akitoka ndani ya gari kafka ofcn chapat 4 nyama furushi akimaliza apo mchana baga,au wali nyama huoooo na bia za kushushia ...jion ikifika ndan ya gari kwa masssawe mbuzi paja na bia za kutosha.....yaan yeye ni kula kulala hana zoez hata kdogo ..sasa apo unategemea nin?
lakin wazee wetu zaman...asubui ni kitu fresh km ni ugali dona na mboga chukuchuku then uyooo shamba...na shamba lenyewe lipo km 10 toka home anatembea ( jogng iyo) kafika shamba kaz nzito (ni zoez tena ilo) anarud tena home km 10 ... akirud home bas km ni pombe basi pure azna kemikali mbege sjui dengua ,ulanzi...kisusio chake mboga za majan ...sasa apo unategemea nin?mtu anakuwa very strong..LAKIN MFUMO WA MAISHA YA SASA NI TAFAUUUT kabsa ..matokeo yake ndo ayo mtu kufanya mazoez inabd awe amekata shauri toka moyon la sivyo matokeo yake ndo ayo...full kunywa konyagi..pweza...lasivyo mtarimbo doro km si doro 1minute mtarimbo.....WANAUME FANYEN MAZOEZ KDG YATAWASAIDIA ..MAISHA ya ofcn bar home yatawakost...mahaus boy full kufanya kaz zote...POLEN.
M NOT READY FOR BATTLE...aman aman km nimekukwaza nipotezeee me love u...
Inasikitisha sana, mie wanangu nitawaapa mihogo na magimbi kwa sana tu, maana hali ni mbaya tunakoelekea
Ni kutokujiamini tu hapo
<br />Little X kama una kajitu kadogo kadogo hapo ni lazima uone wana maungo makubwa<br />
Na usisite kukubali kuwa na wewe ni mmoja wa watumiaji wa pweza na valuer
<br />hahahahahha wanaume kwisha khabar yenu...karibu na mnavyotumia vitadunda!!!
Lakini mi naona wameguswa wengi hapa.
Janga lakitaifa Mkuu
Angalia kila kukicha wganga wa dawa za Nguvu za kiume wanaongezeka na vibanda vya Pweza kila kona
Soko la Valuer na Konyagi ni kubwa mno inafikia kiasi Vinywaji Fake kuingia sokoni kuziba pengo na kuokoa watu