Wanaume uwezo umeshuka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume uwezo umeshuka?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kituko, Aug 1, 2011.

 1. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Nimejiuliza sana hiki kitu na nikashindwa kupata majibu sahihi na nikaona nishee na wanaJamii wenzangu labda kuna jibu ama maelezo sahihi

  Weekend iliyopita kwenye mida ya saa tano asubuhi tulikuwa kwenye Ka-bar maeneo ya home, watu wanakamata supu na kupata mojamoja, mara akaingia jamaa na kuagiza kavaluer nakuanza kunywa kwa fujo, Rafiki yake akaingia na kumuuliza kwa sauti "vipi mtalaam una kazi nini,mbona asubuhi asubuhi?" jamaa akajibu "kamanda we subiri hapohapo"

  Baada ya kama dakika kumi akaingia dada mmoja wa haja yaani kama ni namba nane basi ni ile ya ukweli, mara ka-bar chote kakawa kimya na kila mtu akawa anamkodolea macho Yule mdada. Mdada akaenda straight kwa jamaa anayekunjwa Kivaluer na kuchukua fedha na kisha akatoka huku akimwambia jamaa saa saba utanikuta kule.

  Baada ya Yule dada kutoka tu ka Bar chote kakaripuka na maongezi wakimshauri Yule jamaa,
  "huyo unatakiwa umpigie KOnyagi kubwa, hapana hiyohiyo valuer na redbull, yaani mimi nikimpata nampigia kitimoto nusu na Valuer mbili, ahaaa mambo yote mchuzi wa pweza na Korosho, ahaa mimi ningepiga safari mix Konyagi"

  NIKABAKI NAJIULIZA HIVI KWELI WANAUME HAWANA TENA UWEZO WA KUSIMAMIA KUCHA NA KUMRIDHISHA MWANAMKE BILA BUSTER YA AINA YOYOTE? HIVI UWEZO UMEPOTEA KIASI HICHO AMA NI NINI KINACHOTAFUTWA?
   
 2. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Ni kutokujiamini tu hapo
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sual si uwezo. Kuna kitu kitaalamu kinaitwa "RETURN ON INVESTMENT" ndio kinachotafutwa.
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Lakini na idadi ya Waganga wenye dawa za nguvu za kiume nao wanazidi kuongezeka
   
 5. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kutojiamini, kutaka kukomoa na negative attitude zingine zote.
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  nashindwa kuunganisha point, yaani kukomoa mpaka uchanganye madawa (booster), hawawezi kukoka hivhivi ama uwezo hakuna?
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ina maana kama huna hamu ya kitu si uachane nacho? Hadi uingie gharama ya appetizer sex ni kitu special sema watu washachakachua imekuwa ovyoooooooo; sasa mapenzi gani hayo? Mptuuu ovyoooo
   
 8. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni kwamba, WANAWAKE uwezo wao umeshuka sana.
  Wanawake wa zamani walikuwa hawachukui muda kufika, lakini siku hizi wamekuwa Sugu sana hii ni kutokana na kushuka kwa maadili,
  Utamkuta mtoto wa kike ameanza na umri wa mikaka 12 sasa mpaka kufika umri wa mikaka 30 ufanye kazi ya ziada kumfikisha.

  Lazima ijulikane kuwa kazi ya kufika kilele ni kazi ya wote, sio wewe ubweteke umsubiri mwanaume akufikishe,
  Tafakari, Chukua Hatua.
   
 9. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na wewe lazima nikunywee supu ya pweza.
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0


  ukweli ndo huo banaaa....NGUVU ZIMEWASHUKA UJANJA MWINGIIII HAWNA LOLOTE NADHARIA ZMEWAJAA VTENDO NEHIIIII....wako tofauti na babu zetu zaman..(dont ask me ulijuaje ao mababu...)

  mavyakula aya yanawaharibu ..mwanaume daily mnapanga folen wote kwenye chps mayai..no mazoez no wat..wengne sasa akitoka ndani ya gari kafka ofcn chapat 4 nyama furushi akimaliza apo mchana baga,au wali nyama huoooo na bia za kushushia ...jion ikifika ndan ya gari kwa masssawe mbuzi paja na bia za kutosha.....yaan yeye ni kula kulala hana zoez hata kdogo ..sasa apo unategemea nin?

  lakin wazee wetu zaman...asubui ni kitu fresh km ni ugali dona na mboga chukuchuku then uyooo shamba...na shamba lenyewe lipo km 10 toka home anatembea ( jogng iyo) kafika shamba kaz nzito (ni zoez tena ilo) anarud tena home km 10 ... akirud home bas km ni pombe basi pure azna kemikali mbege sjui dengua ,ulanzi...kisusio chake mboga za majan ...sasa apo unategemea nin?mtu anakuwa very strong..LAKIN MFUMO WA MAISHA YA SASA NI TAFAUUUT kabsa ..matokeo yake ndo ayo mtu kufanya mazoez inabd awe amekata shauri toka moyon la sivyo matokeo yake ndo ayo...full kunywa konyagi..pweza...lasivyo mtarimbo doro km si doro 1minute mtarimbo.....WANAUME FANYEN MAZOEZ KDG YATAWASAIDIA ..MAISHA ya ofcn bar home yatawakost...mahaus boy full kufanya kaz zote...POLEN.

  M NOT READY FOR BATTLE...aman aman km nimekukwaza nipotezeee me love u...
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ili iweje? Mi hata sina hicho kitu mwenzio
   
 12. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  ha ha acheni mbwembwe Mambo ni natural piga la kwanza nje then mengne atajisoma Wanaume nguvu wapate api chps mjini na kuku
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  ur real man.
  mwanaume kukubali kosa /fault yake inakuwa kaz sana ..wachache sana wanaoadmit yes mi ndo tatizo..sor au wat to do now..lakin weng wao ahh mtabshana usku kucha..ata km ukimkuta juu ya kinena cha mwanamke mwngne anaweza akakwambia we ndo tatizo ..sasa kwanini aukusema km unarudi saa hizi?ungenambia usingemkuta uyu...  so kaka tatizo la wanaume kutokuwa na nguvu/mtarimbodoro CHANZO NI WANAWAKE?...Duhh i kali kwakweli
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  mmmh makubwa tena hayaa, mi nafikri mawazo yakiwa kwenye ngono sana ndio maana uwezo unapungua
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0


  ilo ndo jibu...just thk km mtu ana uwezo wa kutembea miguu miwili ATAHITAJI MAGONGO KWELI?
   
 16. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo mmekuwa sugu sana, haswa wewe Rose.
   
 17. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ishu watoto wakali kuwa-maintain ni kazi sana, hasa ukichukulia wanahitaji uwekezaji mkubwa hivyo mtu anawekeza na anataka apate faida siku hiyohiyo ili hata kama wameachana awe amerudisha faida(bao saba)
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kwani kufika kileleni ndo aje kweli kuwa serias mimi sijawai nasikiaga tu. Kama wewe ni mwanaume utajuaje mwanamke wako kafika? Na kama wewe ni mwanamke utajuaje nimefika?
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Jamaa hajiamini na hilo ni tatizo la watu wengi wanadhani kupiga migoli mingi ndiyo starehe.

  Kumbe bila kujua wanaishia kujiumiza wenyewe. Kama unajiamini" unapata balanced diet" na unakamua kikamilifu wala huitaji hayo ma-booster!
   
 20. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Muulize mama atakusaidia.
   
Loading...