Dah tatizo lipo kwe2 sote. wajua pale mahali hapana sugu hata kidogo shida inakuwa wadada hawajui kutawala jukwaa wala hawajielewi wako wapi na wanataka nini. utakuta kwenye primech dakika 3tu anataka mrukiane wakati hajavutika vizuri zamani wazee walikuwa wanajijua na walikuwa wataalam kinoma. kama mnamabib au mababu wachombezeni kwa maneno matamu watakupeni michapo. na shida madadazetu hawajui kujipimia kama wangeweza hili wala wasingekuwa wanakomolewa. na
pili ku-do ktk ulimwengu we2 2nafanya kama kukomoana na sio starehe kama walivyo kuwa wakifanya wazee we2

Mkuu mimi nadhani matatizo makubwa yanayofanya watu waangaike na ma-booster ni

1) Kuwahi kufika kileleni (2-3min)

2) baada ya hizo dakika 2-3 shughuli ndio imeisha tena mpaka siku nyingine

sasa kuepuka hiyo fedhea, lazima mtu ajenge heshima kupitia hivyo vi booster kamakweli vinafanya kazi
Mkuu mimi nadhani matatizo makubwa yanayofanya watu waangaike na ma-booster ni
1) Kuwahi kufika kileleni (2-3min)
2) baada ya hizo dakika 2-3 shughuli ndio imeisha tena mpaka siku nyingine
sasa kuepuka hiyo fedhea, lazima mtu ajenge heshima kupitia hivyo vi booster kamakweli vinafanya kazi
kwani ni mimi? Mimi hayo mambo sijui nyie na waganga wenu maana yaani hiyo ni biashara kuu sasa kama vocha vile wateja wa kumwaga
hamna mahali imeelezwa hizo pombe na ulivyovitaja vinaboost sex drive,ama uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume...ni imani tu au ni katika jitihada za kuondoa aibu wakati wa kudo.
hao wa dakika 2 wanapatikana wapi ndo wazuri hao wataenda mbinguni wani pmMkuu mimi nadhani matatizo makubwa yanayofanya watu waangaike na ma-booster ni
1) Kuwahi kufika kileleni (2-3min)
2) baada ya hizo dakika 2-3 shughuli ndio imeisha tena mpaka siku nyingine
sasa kuepuka hiyo fedhea, lazima mtu ajenge heshima kupitia hivyo vi booster kamakweli vinafanya kazi
jaman mbona mnawalaumu tu wanaume, yawezekana wanawake wa siku hiz ni wagumu na hisia zao ziko mbali sana mpaka uwanywee pombe au gym ndo uweze kuwaridhisha.
taratibu mkuu,
Sasa kwanin umwache mmeo ale chips na mayai tu ilhali ukijua kabisa ndani ya mda mfupi jogoo hatawika tena?akina dada wengi ndo mizigo mmekuwa wanawake sketi hamjuhi tena kupika home,hamjuhi mwanaume anatakiwa ale nini na asile nini kazi yenu ni kuzurura alafu unarudi na vichips eti ndo chakula cha usiku,bnafsi nikila chips hata jogoo hasimami mbali ya kuwika,mpe mmeo magimbi,miogo,viazi,supu ya samaki alafu uone shughuri yake,weeeh!
Dawa hii nayo ni sehemu ya tatizo kwa wote!Na wewe jitahidi kula vyakula vya kukuongezea hamu ili uweze kufika haraka, Haswa ukizingatia zama hizi za Ukimwi, ukisuguliwa sana unaweza abukiza kirahisi.
Najua hutumii dawa ya penzi.
Kabisa mkuu na hawapendi hata kufanya mazoezi wala kula vyakula vya asili wao na chips mayai na burger na kuku wa kisasa
Vyakula vya supermarket
atathubutu?.. huko nje si atajichora tu?Then akitoka nje usije kulalamika kuwa unaonewa
mhhh!
Ina maana wazungu wanaokula vyakula hivyo wakO mtarimbo -lala- doro?
Sitaki kuamini hili!