Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Hahaa na mimi natamani mweeh. Kidume kinatimua mbio na boxer lol

Kuna jirani yetu walidundan na mkewe

Mwanamke akamtoa mume ndani,akamtupa nje, jamaa alipigwa mpaka huruma,

Mwanamke akaingia ndani akamtolea mwanaume vitu vyote alivyonunua!
Dada ana nguvu yule alikua anatoa makabati,friji kitanda mwenyewe!

Mwanaume akabeba nguo zake akahepa!
 
Aisee

Alikuwa mkuryaa nin???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya mambo ya kuoaa mijimama balaa
 
Kuna jirani yetu walidundan na mkewe

Mwanamke akamtoa mume ndani,akamtupa nje, jamaa alipigwa mpaka huruma,

Mwanamke akaingia ndani akamtolea mwanaume vitu vyote alivyonunua!
Dada ana nguvu yule alikua anatoa makabati,friji kitanda mwenyewe!

Mwanaume akabeba nguo zake akahepa!
Hahaaaaa huyo mama nampongeza aisee kwa kumyoosha huyo mwanaume sijui nguvu kazitolea wapi jamani
 
Wewe wanadundwa vizuri tu mbona tunaona. Kuna wanawake anakupa nakozi hadi unamuona israel na rafiki zake
Ni kweli wanaume wengi wanapigwa sema hapa jf wanajifanya. Kuna dada alikuwa Ana mpiga mumewe mpaka anaomba msaada kwa watu. Cjui nguvu alikuwa anatoa wapi
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Pole sana
 
Hahaaaaa huyo mama nampongeza aisee kwa kumyoosha huyo mwanaume sijui nguvu kazitolea wapi jamani

Nadhani ni hasira maanake kadada chenyewe kadogo dogo mluguru,

Mtoto wao maskini wakamkalisha chini wao wanalisakata tu
 
Haha ananyanyua hadi mafriji, huyo kiboko aisee
Kuna jirani yetu walidundan na mkewe

Mwanamke akamtoa mume ndani,akamtupa nje, jamaa alipigwa mpaka huruma,

Mwanamke akaingia ndani akamtolea mwanaume vitu vyote alivyonunua!
Dada ana nguvu yule alikua anatoa makabati,friji kitanda mwenyewe!

Mwanaume akabeba nguo zake akahepa!
 
Nastahili tu kupewa tuzo ya mwaka ya uvumilivu.

Nastahili kutunikiwa nishani ya jeshi maana depo nimemalizia nyimbani.

Huyu mwanamke ni mkorofi na kisirani wa kutosha. Ila 31-12-2018 nakuacha mama rasmi nenda kamtese na mwingine.
Dah akamtese mwingine??

Kwan ushafny maamuzi mkuu?
 
Dah me ninalo hilo janga aise sijapata kuona msichana mgomvi kama huyu niliye nae, wiki kama mbili hivi zimepita alikuja kunianzishia bonge latimbwili mwanamke aamuliki kosa langu nikumpiga kibao2 ndio ikawa nimechokoza aise yaan nikaamua nimuache afanye kile anachotaka alinikaba shingo maumivu niliyohisi aise nilijikuta nimepiga kelele maana nilihisi kufa nilipotoka hapo kwahasira nilimuuma shavu ila ndio akasara hatar watu wanaamua ila wap mpaka akaja mama yake mtu ataki kuacha ugomvi kanikwida kama vile mwizi mpaka akaja mama yangu mtu bado2 kakaza ikabidi wamuamue kwangu watu wanne ndio walifanikiwa kumtoa ndani naalipotolewa ndan nikaambiwa nijifungie mlango ndani, akawa kazinda mlangoni anatukana hatar anafoka mpaka akazimia hapo hapo mlangoni yaan mpaka sasa anaumwa maana alilazwa kabisa baada yakumpeleka hospital
Duuh! Watu wengine mnaoa mashetani wallahi
 
Wangu mkorofi balaa na mkikwaruzana kidogo tu anakimbilia kuniuma meno hapa nilipo nina makovi matatu ya meno lakini rafiki yangu alinishauri dawa ya mwanamke mkorofi unatakiwa umdunde haswa bila huruma siku nyingine akikumbuka kipondo ulichompa ataishia maneno tu kwa kweli namshukuru jamaa maana kuna siku alilianzisha niliponda kama sio wapangaji ningeua. Sasa hivi tuna miezi kama kumi na moja hivi tuko shwari kabisa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu nilimsapoti uchokozi wake kwa wenzake tukiwa kidato cha 6, wote walikuwa wanajitenga nae kwa ukorofi ila mimi tu ndo kusema wanamuonea.

akawa rafiki nikammiliki mchanganyiko wa msomali na mnyakyusa hahahaha ligi yake nilikuwa nafurahi sana, alikuwa akiwasha moto nakaa kimya sana maana balaa lake nalijua na nilisha lishuhudia tukiwa skuli.

siku akalianzisha nko na frend wangu si akaingilia kumpoza hahahahahaha!!! alimgaragaza balaa, jamaa anaomba niingilie nilicheka sana.

kuna wanawake ni kukaa nao mbali, maana ni kero na kukuaibisha ni dakika chache.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom