Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Dah me ninalo hilo janga aise sijapata kuona msichana mgomvi kama huyu niliye nae, wiki kama mbili hivi zimepita alikuja kunianzishia bonge latimbwili mwanamke aamuliki kosa langu nikumpiga kibao2 ndio ikawa nimechokoza aise yaan nikaamua nimuache afanye kile anachotaka alinikaba shingo maumivu niliyohisi aise nilijikuta nimepiga kelele maana nilihisi kufa nilipotoka hapo kwahasira nilimuuma shavu ila ndio akasara hatar watu wanaamua ila wap mpaka akaja mama yake mtu ataki kuacha ugomvi kanikwida kama vile mwizi mpaka akaja mama yangu mtu bado2 kakaza ikabidi wamuamue kwangu watu wanne ndio walifanikiwa kumtoa ndani naalipotolewa ndan nikaambiwa nijifungie mlango ndani, akawa kazinda mlangoni anatukana hatar anafoka mpaka akazimia hapo hapo mlangoni yaan mpaka sasa anaumwa maana alilazwa kabisa baada yakumpeleka hospital
Mmmh aiseee
 
Duh! Pole sana Mkuu. Kwanini unaendelea kuyavumilia mateso makubwa kiasi hiki kwenye maisha yako?

Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
 
huyu nilimsapoti uchokozi wake kwa wenzake tukiwa kidato cha 6, wote walikuwa wanajitenga nae kwa ukorofi ila mimi tu ndo kusema wanamuonea.

akawa rafiki nikammiliki mchanganyiko wa msomali na mnyakyusa hahahaha ligi yake nilikuwa nafurahi sana, alikuwa akiwasha moto nakaa kimya sana maana balaa lake nalijua na nilisha lishuhudia tukiwa skuli.

siku akalianzisha nko na frend wangu si akaingilia kumpoza hahahahahaha!!! alimgaragaza balaa, jamaa anaomba niingilie nilicheka sana.

kuna wanawake ni kukaa nao mbali, maana ni kero na kukuaibisha ni dakika chache.
 
Mrudishe kwao ?, kwa kukutia hasara kama kuvunja tv wa nini sasa huyo ?, mfano wewe ndio umeemuudhi tv inakosa gani mpaka ivunjwe ?
 
huyu nilimsapoti uchokozi wake kwa wenzake tukiwa kidato cha 6, wote walikuwa wanajitenga nae kwa ukorofi ila mimi tu ndo kusema wanamuonea.

akawa rafiki nikammiliki mchanganyiko wa msomali na mnyakyusa hahahaha ligi yake nilikuwa nafurahi sana, alikuwa akiwasha moto nakaa kimya sana maana balaa lake nalijua na nilisha lishuhudia tukiwa skuli.

siku akalianzisha nko na frend wangu si akaingilia kumpoza hahahahahaha!!! alimgaragaza balaa, jamaa anaomba niingilie nilicheka sana.

kuna wanawake ni kukaa nao mbali, maana ni kero na kukuaibisha ni dakika chache.
Haha wanyaki oyeeee
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Pole sana Mkuu. I can feel your pain. Nachelea sana kuoa. Ndoa ni kama GEREZA. Mwanzo nilitamani sana kuoa. But not any more. Ndoto zetu nyingi hufa baada ya kuingia Kwenye huu mtego.

Sisemi wanawake wote wako hivyo. Nasema ni ngumu kujua. Hasa pale unapompenda Mwanamke. Wanaume pia tuna yetu. Sema akina Mama sometimes wanatuweza beyond measure.

Nirudi Kwako. Nakushauri utafute something interesting you ufanye. Mazoezi ya Mwili ama kupiga vyombo vya mziki pia inasaidia sana.

Pia jaribu kukumbuka, Kabla ya yote hayo nini Ilikuwa ndoto yako? See if you can pick it up where you left it and proceed.

Last but not least. Embrace the Oneness. Kumbatia upweke. Ktk kipindi hiki jaribu kuutizama mustakabali wa Maisha yako Upya. Review and check your Priorities. Accept what has happened and Move on.

Kumuacha ama kutokumuacha ni la Wewe kuamua. Maana you know how far harmful she is.

Changanya na Zako kisha Amuua.
 
Mmmh aiseee
Yaan dada yangu mwanamke huyu kupigana namimi hawez japo ananguvu sana maana aliponisalia ndio nikamgonga sana yaan mpaka sasa hivi anaumwa maana aliumwa wakunyweshwa uji maana nilijua nafungwa2 ila akawakataza kwao kunishtak nakwabahat mbaya nimezaa nae nachonzo chaugomvi nilimtamkia kwenye simu kuwa tuachane baada yakuzozana kwenye simu ndio asubuhi yako akaniamkia maana siishi nae anaishi kwao yaan alipokuwa anahali mbaya sikuwa nakula mpaka najihisi now naweza kuwa namadonda yatumbo
 
Back
Top Bottom