Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Mimi nina mchepuko wangu mke wa mtu ni mshari mnoooo mwaka wa 20 huu, akipiga simu kulalamika mfano ameomba upite sokoni umchukulie mayai basi atapiga hiyo simu na atalalamika kwa saa nzima,yan kisa mayai tu eti...dah
sijui maneno huwa anatoa wapi, hapo atakumbushia kila kitu ambacho anahisi hukumtendea sawa, hata kilichotokea mwaka 2000, anakumbuka hadi tarehe na saa...ajabu tumeshindwa kabisa kuachana, huwa inatokea tunanuniana kwa wiki 2 then anaibuka tena na kutaka nikamfanye, hapo nitamfanya na anaenjoy kweli lakini atakuwa na malalamiko kibao...nilikaa naye kwa wiki 1 Arusha nilichoka kwa kweli...ajabu yeye hachoki kufanywa wala kulalamika!
Mke wa MTU.[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mi kuna Mjaluo mmoja yani jana tu, kanisubirisha ktuo cha daladala,hatuna hata mwezi kwenye date yetu,kumuuliza anasema anasubiria chenji yake toka kwa konda,baada ya muda akaja tukapanda daladala tukaelekea town, kwenye hiace akalipa nauli yake,mana mi nilikuwa siti ya nyuma, tulipofika town akaaza kunigombeza eti kwanini cijamlipia nauli, nikamwambia mi nilikuwa siti ya nyuma usiwaze mbona mambo madogo, akawa mkali anataka nimlipe hela ya nauli aliyojilipia kwenye daladala....nimewaza yani acha tu.........sijui nipige chini....alafu eti hapendi niwe nampa hela mbele ya watu, eti anataka niwe nampa tukiwa peke yetu....yani acha...........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajaluooooo.Mkuje hapa
 
Nilisha mtema na pale nyumbani nilihama kwa sababu kila akijaga kama sipo home, alikuwa ananiteta kwa wapangaji na kutaka aambiwe namletaga nani pale nyumbani. Hata wapangaji walimchoka na kumbatiza Mama full dozi.
'Mama Full Dozi'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mm niliwahi kumzimisha demu wangu neema nlipiga ngumi kama 5 za mbavu na moja ya uso
We ulimpasua kiuhakika man. Mwanamke jeuri ni shida kuishi nae bila kumfumua. Unaweza ukafa na stress!
 
Sawa ney kaaya,nishajifunza (out of topic)hii picha ya profile yako ni wewe?). kwa
Sasa sitaki mchezo tena na huruma napunguza,'poker face' time,sicheki wala sinuni.lol. yote siyawezi hayo naona,nilivyo mpole!.
vizuri kwa kutambua hilo kwa nini hilo swali?
 
Umeguswa na hii topic kiasi hicho,au wewe ndio mmoja wa mabondia wakike mnao piga makwenzi waume zenu.
ki ukweli me sio mkorof ila nilishawah kumpa mateke na mangum mazur tu boyfriend wangu enz izo alinikosea nikahis akakana nikaja kuthibitisha alikuwa mdogooo anaomba msamaha huku kanishika miguu hasira iliokuja pale sijawah kuipata tena kwanza sikuwa najihisi ni mimi nilimpiga mpk alishindwa kunizuia
 
Duh!,we mdada mbona uko violent sana.Kama umesoma post zangu kwenye huu uzi utaona nilikutana na mwanmke mkorofi na nilikuwa sina raha na mapenzi (ingawa kitandani alikuwa mtamu sana).Kitu ambacho sijakielewa inakuwaje mwanamke unakuwa mgomvi na kupata ujasiri kiasi cha kumpiga mwanaume,kwa mfano wewe,ingekuwa kama wewe ndio umekosea hivo ungejiskiaji mwanaume wako angekupiga na kukuumiza?au mnafikili wanaume hawasikii maumivu?!
 
Habari wakuu,

Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.

Nilishawahi kuwa na mmoja alishawahi kunipiga tanganyika jeki nikawa natembelea vidole gumba vya miguu
 
Duh!,we mdada mbona uko violent sana.Kama umesoma post zangu kwenye huu uzi utaona nilikutana na mwanmke mkorofi na nilikuwa sina raha na mapenzi (ingawa kitandani alikuwa mtamu sana).Kitu ambacho sijakielewa inakuwaje mwanamke unakuwa mgomvi na kupata ujasiri kiasi cha kumpiga mwanaume,kwa mfano wewe,ingekuwa kama wewe ndio umekosea hivo ungejiskiaji mwanaume wako angekupiga na kukuumiza?au mnafikili wanaume hawasikii maumivu?!
Ndio mana nikasema hasira nilioipata pale sikuwah kuipata tena na sikuwa najihisi kuwa ni mimi ni kama ibilisi alinizid akavaa uhusika ndan yangu ila sidhani kama nitaweza lifanya tena
 
Mkuu mimi mwenyewe nina wiki ya 3 nimehama mtaa, nimemuachia kila kitu, duh haya mambo kama tungekuwa tunayajua mapema tusingefanya makosa. Huyu wangu yeye haangalii pa kulianzisha, tushafunga mtaa kwa ugomvi kama mara 2 hivi, yaani nimeoa komandoo.
Rudi kwa nyumba ukapewe kipondi safi tena mubashara
 
Sio kweli, saa n
Nilikuwa nae Tabora pale, ebwana mwanamke alikuwa mgomvi yule sitamsahau, basi mwanzoni alikuwa akinikoroga nampa kibano cha haja, baadae nikabadili utaratibu akinikorofisha nakuwa mpooleeeee hadi anaamua kutulia kumbe moyoni nampangia adhabu yake, siku nambembelezaaaaa namuandaa vizuri ananyegeka hasa, sasa nikishapanda kinenani pale nilikuwa sishuki nakwambia hadi analia, mimi ndio kwaanza kama vile ndio naanza. Kuna siku nimepiga mgegedo tangu mida ya saa nne hadi nane nane sijashuka nasugua tu huku nikiorodhesha maugomvi yake yote, si akakata pumzi, weee ilikuwa patashika pale, pepelea pepelea baadae akarejea ktk hali ya kawaida, asbh ilibidi kumpeleka hsptl nikamwambia tuachane tu maake haipiti wiki lazima aanzishe ugomvi bila sababu. Nilimkimbia nikabadili na namba ya simu.

Anadai yy hawezi kukaa bila kugombana hasikii raha. Ila ni kero sana
Nne had saa nane? Fyuuuyyhh
 
Mi kuna Mjaluo mmoja yani jana tu, kanisubirisha ktuo cha daladala,hatuna hata mwezi kwenye date yetu,kumuuliza anasema anasubiria chenji yake toka kwa konda,baada ya muda akaja tukapanda daladala tukaelekea town, kwenye hiace akalipa nauli yake,mana mi nilikuwa siti ya nyuma, tulipofika town akaaza kunigombeza eti kwanini cijamlipia nauli, nikamwambia mi nilikuwa siti ya nyuma usiwaze mbona mambo madogo, akawa mkali anataka nimlipe hela ya nauli aliyojilipia kwenye daladala....nimewaza yani acha tu.........sijui nipige chini....alafu eti hapendi niwe nampa hela mbele ya watu, eti anataka niwe nampa tukiwa peke yetu....yani acha...........
Hahaha!, pole zako jamani!, yaani alitaka kila kitu anavyotaka yeye [emoji28]
 
Back
Top Bottom