God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
Yani mkuu acha tuu inasumbua kinoma. Hata kama inamakosa bado itaendelea kujitetea ipo sahihi milele.Ha ha haaaa jamani..huu utakuwa ukweli..watu wanawasema sana
Mara nying hawa viumbe hawaolewi sababu ya ubishi. Nani atakae kaa na mwanamke wa ivo?