Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Nishawahi kuwa na mtoto wa kichaga, maji ya kunde, sura nzuri, mwembamba wa kati afu kajazia msambwanda. Mtoto alijaliwa xana maumbile. Sasa alikua ni mgomvi usipime. Kidogo tu kanuna na maneno juu. So nlikua nkikumbuka mgegedo wake mzee napoa na kujishusha. Wanawake ni viumbe vya ajabu sana.
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Mpe kipigo cha mbwa mwizi alafu uangalie uppo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Duh hii ni kweli nakumbuka najione huruma,hasa pale inabidi utoke nae kwenda sehemu ya shughuli au starehe alafu unajua kuwa mtakuta na ndugu na marafiki wa karibu,yaani hujui utasema nini au utafanya nini ambacho kinaweza kumuuzi alafu akaanzisha zali la kufa mtu,au kutoa maneno yatakayokuvunjia heshima mbele za watu.Unaanza kuwa na huzuni kabla hata hamjaenda,wakati mwengine unaamua kutokwenda kabisa.na ukisema uenda peke yako,hata urudi saa tisa usiku unakuta anakung'oja sebuleni au kalala kwenye kiti na nguo za kutokea ,pemben kaweka kile kigongo cha kukandia chapati.
hahhahahahha nacheka sio kwamba ni mazuri haya ila uvumilivu umenishind pole sana
 
Mi kuna Mjaluo mmoja yani jana tu, kanisubirisha ktuo cha daladala,hatuna hata mwezi kwenye date yetu,kumuuliza anasema anasubiria chenji yake toka kwa konda,baada ya muda akaja tukapanda daladala tukaelekea town, kwenye hiace akalipa nauli yake,mana mi nilikuwa siti ya nyuma, tulipofika town akaaza kunigombeza eti kwanini cijamlipia nauli, nikamwambia mi nilikuwa siti ya nyuma usiwaze mbona mambo madogo, akawa mkali anataka nimlipe hela ya nauli aliyojilipia kwenye daladala....nimewaza yani acha tu.........sijui nipige chini....alafu eti hapendi niwe nampa hela mbele ya watu, eti anataka niwe nampa tukiwa peke yetu....yani acha...........
 
Asee una hataree mkuu..piga chini huyooo utajutaa

Vituko ndani ya mwezi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haya bn nicheke tu,sio mazuri mengine ujue.lakini nashkuru nime epukana nae,na nishaanza kuridhika na maisha yangu ya ubachelor hata kipato changu hakitumiki sana kama zamani.
 
Asee una hataree mkuu..piga chini huyooo utajutaa

Vituko ndani ya mwezi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kabinti flani hiv ,ni ka-blackbeauty ila kana mikogo ,hata kitumbua sijalamba...................
 
Haya bn nicheke tu,sio mazuri mengine ujue.lakini nashkuru nime epukana nae,na nishaanza kuridhika na maisha yangu ya ubachelor hata kipato changu hakitumiki sana kama zamani.
nisamehe bureeeeeee nilishindwa kuvumilia kicheko hongera pia ni hatua nyingine ya kujipanga ila trip hii uwe mwangalifu umesikia eeeh uruhusu akili zaidi ifanye kazi kuliko moyo😳
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
pole sana mkuu. muombe Mungu akupe nguvu ya kushinda hayo
 
Nishawahi kuwa na binti wa kinyantuzu, ugomvi wake yeye ilikuwa ni kununa frequently hata kwa muda wa week nzima
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nilisha mtema na pale nyumbani nilihama kwa sababu kila akijaga kama sipo home, alikuwa ananiteta kwa wapangaji na kutaka aambiwe namletaga nani pale nyumbani. Hata wapangaji walimchoka na kumbatiza Mama full dozi.
Haaa haaa..
Eti "Mama full dozi"
 
nisamehe bureeeeeee nilishindwa kuvumilia kicheko hongera pia ni hatua nyingine ya kujipanga ila trip hii uwe mwangalifu umesikia eeeh uruhusu akili zaidi ifanye kazi kuliko moyo😳
Sawa ney kaaya,nishajifunza (out of topic)hii picha ya profile yako ni wewe?).
Sasa sitaki mchezo tena na huruma napunguza,'poker face' time,sicheki wala sinuni.lol. yote siyawezi hayo naona,nilivyo mpole!.
 
Moja ya uzi chache nilizosoma comment zote hapa jf
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Haaa haaa..
Eti "Mama full dozi"

Alikuwa na vituko mno mpaka kero yaani. Wanawake wengi wanajipa majanga wenyewe. Maana mtu unafikiria, kama mwanamke ni mshikaji tu na ana vituko vya full dozi, je ukimuoa itakuwaje? Dushelele linanywea hapo hapo na kumpa kisogo.
 
Back
Top Bottom