Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Nishawahi kuwa na mwnamke mgomvi,nilijuta,alafu bahati mbaya alikuwa mzuri dizain za kina masogange hivyo kumuacha unafikilia mara mbili utampata wapi kama yule.
Unaweza ukafanya mazuri kibao,usipomfanyia moja tu,yaani anasahau yote na analianzisha! Hapo sahau sex,kuongea hata chakula ndani siku hiyo akipikwi bahati mi mwenyewe si mbaya jikon.
Wanawake wakorofì wanapenda wivu wa kijinga,hawapendi kusikiliza,na ni kama watoto anapenda sana kuridhishwa wakati wao hawajitahid hata kidogo kwenye mapenzi,M/Mungu aniepushe kukutana na aina hii tena.
Daaaah umenichekesha kinoma[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Yaan mkuu namuomba mungu apone naugomvi nae sitaki tena zaidi yakuachana nae2 kimyakimya maana ubaya wahuyu mwanamke akisara anafunga mlango kabisa kwahiyo kusema hata umkimbie inakuwa nikazi ngumu sana

Jitahidi tu kumkimbia mkuu, usije pewa murder case.
 
Hahahaha Tayukwa...Mm kabla haujanipiga lazima nitakuchekesha utasahau hata kama nilikuchokoza!!!usipocheka nitakubembelezaje lol..
Utaweza kwanza!! maana wakati huo utakuwa ushanikera hivyo na ntavimbisha pua km donge la sabuni
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada

[emoji28][emoji28]polee
 
Back
Top Bottom