Kuna Jirani Alikua Na Mwanamke Mgomvi. Bas Akawa Anamvumilia Na Kukaa Kimya Demu Mara Amfungie Nje Akichelewa Kuangalia Mpira,Kupasua Vitu,Mara Amtukane Mbele Za Watu. Sasa Dada Akasahau Kua Hajaolewa. Baada Ya Muda Jamaa Kaenda Kazini Mda Wa Kurudi Umefika Hajarudi. Demu Akasema We Lala Huko Huko Usirudi Jamaa Hajarudi Kweli. Kesho Hajarudi Kupiga Simu Jamaa Anapokea Vizuri Demu Anazidi HasiraJamaa Wiki Hajaja Anamtukana Tu Keenye Simu. Kumbe Jamaa Alipanga Kwengine Katafuta Vyombo Na Vitu Vya Ndani Kimya Kimya. Alijua Akimuambia Tuachane Anaweza Akamdhuru. Bas Bwana Jamaa Anakuja Kurudi Anamuambia Aendelee Na Maisha Na Kodi Imebaki Miez Mi5 Vitu Vyote Vyake. Mwanamke Kalia Kama Mtoto Jamaa Kamuambia Kila La Kheri Mama! Jamaa Alikua Anahamisha Vitu Vyake Muhimu Kimya Kimya Baada Ya Kuamua Kusepa. Dada Alilia Yule Mikamas Kama Mtoto. Alafu Na Watu Mtaani Walikua Wanafurah Anavyolia Koz Wanajua Na Walikua Wanamsikia Anavyomtukana Na Kumletea Jamaa Ubabe. Dada Hakumaliza Mwezi Akahama!!