gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
Mungu nakubali kwenye maandiko kakataza mwanamke kutawala ila nafkiri kuna misunderstanding ama kuna misconception kwenye hii verse as Mungu alishasema wazi wanawake wawe watiifu kwa wanaume.
nikiwa mtawala haimaanish kwamba sio mtiifu kwa mwanaume jamani, utiifu ndo kitu pekee ambacho ninaakiwa kuwa nacho, utawala Mungu aliokusudia kauusema hapa ni utawala wa kumfanya mwanaume sio kitu jambo ambalo hakuna mwanamke mwenye utash anayelifanya.
Mungu hakumaa nisha kwamba mwanamke hawez kuwa kaiongozi ama hawez kuwa muhubiri kma ndivyo basi asingewachagulia wana wa Israel Mwamuzi / mfalme wa kike ambaye aliitwa Debora. tena rudi kasome maandiko toka siku Mungu alipokubali awe mwamuzi hadi mwisho hakuwah kumkosea Mungu na aliiongoza Israel kwa uadilifu sana kuliko hata baadhi ya waamuzi/wafalme wa kiume.