Wanaume tutalijibu hili siku ikifika . . .!!

Wanaume tutalijibu hili siku ikifika . . .!!

Kwa mujibu wa biblia,uumbwaji wa mwanamke haukuwa mpango wa Mungu at the first place
'
Aliekua mpango wa Mungu ni mwanaume ndo maana ndie aliekabidhiwa Eden(Mwa 2:15)
'
Mwanamke hakuumbwa kwaajili ya mpango wa Mungu bali kwaajili ya mwanaume(Mwa 2:18)
'
Makatazo na maelekezo ya namna ya kuishi Eden hakupewa mwanamke bali Mwanaume,kwani wakati makatazo hayo yanatolewa mwanamke hakuwepo(Mwa 2:16-17)
'
Hivyo makatazo na mamlaka ya kuishi Eden yalikabidhiwa kwa Mwanaume ayasimamie,kazi ya mwanamke ni kufuata maelezo ya Mwanaume tu
'
Hivi ndivyo ilivyo kwa kuwa uumbwaji wa mwanamke haukuwa kwaajili ya Mungu ila kwa ajili ya Mwanaume(Mwa 2:18)
'
Baada mwanamke kula tunda,haikuhesabika kosa kwa kuwa yeye hakuwa mhusika mkuu pale mpaka alipokula Mwanaume(Mwa 3:6)
'
Baada ya kukosa,Mungu aliposhuka Eden hakumuita mwanamke kwanza bali Mwanaume(Mwa 3:9)
'
Mungu alijua umuhimu wetu lakini sisi tulidharau,hii ni aibu,
'
Wanaume tulikabidhiwa bustani ya Eden tukashindwa kutii maagizo ya Mungu kwa ushawishi wa mwanamke,hii ni aibu
'
Na baada ya hapo Mungu alisema tutamtawala mwanamke,lakini leo tunatawaliwa,hii ni LAANA
'
Leo ni kama tumegeuka wanawake na tunashabikia wanawake kututawala,eti nafasi bungeni na serikalini ziwe sawa,hii ni LAANA
'
Iko siku tutajibu haya!!

Mkuu_Mungu akubariki sana,kumbe mfumo dume umetoka huko kwa muumba mwenyewe...lo.
 
Ikawa asubuhi, Ikawa jioni siku ya...............
 
ni ukweli kama huu utakao tuokoa na adhabu ya Mungu!tuufanyie kazi tafadhari!
 
Jibu mbona liko obvious kabisa? Hebu jiulize kwanza .... Je mwanamke ni mtu?
Kama jibu ni "ndio" basi mwanake pia aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Endapo jibu ni "sio" yaani mwanamke sio mtu basi vivyo hivyo yeye hakuumbwa kwa mfano wa Mungu.

Its just a question of simple reasoning!

Kina dada wachungaji na mama wachungaji FP Zion Daughter snowhite Kaunga gfsonwin cacico Smile na wadada wengine wote sogeeni huku huenda nyie mtamuelewa Eiyer mnielimishe na mimi. Binafsi ninashindwa kumuelewa maana naona anajaribu kuonesha kuwa mwanamke ni mtu dhalili na asiye na thamani hata mbele za Mungu.
yaani mimi ndo nimekuwa confused kabisaaaaaa.....
ninachoweza kusema ni kwamba leo amejisikia kusema hivi, labda ndoto ya leo ndo alivyoota......
kwa elimu yangu ya Biblia nakumbuka kuwa Mungu alimuumba binadamu (mwanaume) ili avitawale viumbe vingine alivyoviumba, na alipoona yupo mpweke, akamfanyia msaidizi...... sijui kazi ya msaidizi ni ipi? labda Eiyer anaweza kutuambia hili.
Mungu akumwumba mwanadamu kwa ajili ya Mungu, ila kwa ajili ya kutawala ulimwengu. Yeye binadamu aliona ni vema kumwabudu Mungu wake (sina uhakika kama kuna kifungu kinazungumzia Mungu alimwamuru mwanadamu amuabudu), na sijui kama kuna kosa kama mwanamke ambaye msaidizi wa mwanaume akimwabudu Mungu kama mwanaume anavyofanya.
Mungu alipomwumba mwanaume autawale ulimwengu, alimuumba pia mwanamke amsaidie mwanaume kuutawala ulimwengu, tatizo liko wapi mwanamke anapofanya hivyo?
 
Last edited by a moderator:

Biblia katika Yeremia 31:22 inasema ‘Hata lini utatanga-tanga, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanaume.
 
Kumbe wanawake sio watu! Kama siyo WATU, kwa nini wawazae wanaume ambao ndio watu?
Nakukumbusheni kuwa hata wale wanafunzi wa Yesu hakuwemo mwanamke lakini mwanamke ni wa kuheshimiwa sana maana ndio wanaotuzaa. Shida ni kwamba Shetani anapenda sana kuwatumia wanawake ili apate mateka wengi maana wanawake wana ushawishi mkubwa sana. Hamsini hamsini ni hoja ambayo inaletwa na wanaume tu wala si wanawake kama mnavyodhani na kama wangekuwa wao ndo wanataka hamsini 50 wangekuwa walishaipata zamani sana maana wana ushawishi mkubwa. WANAUME NDO WANAOJIPENDEKEZA PENDEKEZA KWA WANAWAKE KWA KUSEMA WANAWAKE NDO WANATAKA HAMSINI HAMSINI.
 
Labda kwa mfano wa
she..ni we huoni yuko full of temptions, watu tunaiba makazini tununue
magari na majumba kuwa impress wao,
Watu tunauana just tukigombea wao,
Wanatuvalia vimini wanatutega tuna loose control,
Watu tunasahau familia zetu kisa wao,
Watu tunatumia nokia za tochi wakati wao tunawaonga ma bberry z,
Si bure there must be something extra-ordinary in them.

mmh! sasa unadhalilisha wanaume kama hayo yote mnayafanya kwa ajili ya mwanamke then mko dhaifu sana!
 
Mbona hueleweki?Red-Ni wapi Mungu amesema hayo?Bold-Kama umeshasema kwenye red kuwa tumehurumiwa iweje tena tuwe na majukumu?Wanawake kwa ukilaza!
ndo maana ya maoni ruksa kugusa pande zote,
kilaza anayependa slope,na kumeza badala ya kuelewa.soma uelewe, Kwa jazba na hoja hizo. Mbona tutawatawala. Simameni kama mpango wa Mungu unavyosema kinyume na hapo lazima mtawaliwe tu.
 
mmh! sasa unadhalilisha wanaume kama hayo yote mnayafanya kwa ajili ya mwanamke then mko dhaifu sana!

We hujui kuwa mwanaume kwa mwanamke sawa na mfupa kwa fisi.
I thought you would really understand, the strength of a woman can easily kill a man
 
Mbaya zaidi mnapogeuka mabwabwa na kupenda dezo kwa kutaka kutunzwa na wanawake!
mtajiteteaje?

watajitetea kuwa m/mke kaumbwa kwa ajili ya Adam kwa hivyo ni lazima amhudumie na kumtumikia Adam,hawakosi hoja make wanapenda ufalme.
 
Naomba tu nikae kando kwenye huu mjadala, ila kuna vipengele kadhaa ndugu mleta mada kidogo amepotoka na kwa mantiki hiyo habari nzima ni batili.
Sababu ya kutopenda kuendeleza mjadala ni kwamba tutaishia kujadili maandiko ya Biblia zaidi kuliko mzizi wa mada....halafu hapa si jukwaa husika kwa masuala ya dini.
Ila mkuu mleta mada tambua tu ya kwamba mtu mume na mtu mke waliumbwa siku moja ila walidhihirishwa siku tofauti na wote hawa waliumbwa kwa mfano wa Mungu.

point!
 
Labda kwa mfano wa she..ni we huoni yuko full of temptions, watu tunaiba makazini tununue magari na majumba kuwa impress wao,
Watu tunauana just tukigombea wao,
Wanatuvalia vimini wanatutega tuna loose control,
Watu tunasahau familia zetu kisa wao,
Watu tunatumia nokia za tochi wakati wao tunawaonga ma bberry z,
Si bure there must be something extra-ordinary in them.

sio 7bu,tamaa zako za kutamanitamani zinakuponza.
 
Jibu mbona liko obvious kabisa? Hebu jiulize kwanza .... Je mwanamke ni mtu?
Kama jibu ni "ndio" basi mwanake pia aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Endapo jibu ni "sio" yaani mwanamke sio mtu basi vivyo hivyo yeye hakuumbwa kwa mfano wa Mungu.

Its just a question of simple reasoning!

Kina dada wachungaji na mama wachungaji FP Zion Daughter snowhite Kaunga gfsonwin cacico Smile na wadada wengine wote sogeeni huku huenda nyie mtamuelewa Eiyer mnielimishe na mimi. Binafsi ninashindwa kumuelewa maana naona anajaribu kuonesha kuwa mwanamke ni mtu dhalili na asiye na thamani hata mbele za Mungu.

amempata na patina kamsaidia kusema m/mke kaumbwa mfano wa she**ni, wote wakapimwe akili kwanza kama wako okay ndo tuendelee na mada.
 
Back
Top Bottom