elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,760
ponda mali kufa kwaja...
Wale wa ukoo wenu ndio vilaza sie wengine walaaaaa!
Siku hizi wanavaa mpaka mavazi ya kiume, haitoshi wanataka mpaka kuvaa suti walizo zaliwa nazo ...........!:A S 39:Unamaanisha nini?
Bila shaka ni kwa mfano wa Mwanaume!Huyo alikua Adam,hivi kama Mwanaume ndo aliumbwa kwa mfano wa Mungu,mwanamke aliumbwa kwa mfano wa nani?
Unataka kusema She.....ani!!???opposite ya Mungu ni ... Labda aliumbwa kwa mfano wa ....
Unataka kusema She.....ani!!???
Alianza vizuri ila sasa nahisi ameongeza idadi ya viroba.
Kwanini wewe unaebisha usiseme?Kama huna jibu kwanini unabisha?
what exactly are yu tryn to incinuate here!?????Kwa mujibu wa biblia,uumbwaji wa mwanamke haukuwa mpango wa Mungu at the first place
'
Aliekua mpango wa Mungu ni mwanaume ndo maana ndie aliekabidhiwa Eden(Mwa 2:15)
'
Mwanamke hakuumbwa kwaajili ya mpango wa Mungu bali kwaajili ya mwanaume(Mwa 2:18)
'
Makatazo na maelekezo ya namna ya kuishi Eden hakupewa mwanamke bali Mwanaume,kwani wakati makatazo hayo yanatolewa mwanamke hakuwepo(Mwa 2:16-17)
'
Hivyo makatazo na mamlaka ya kuishi Eden yalikabidhiwa kwa Mwanaume ayasimamie,kazi ya mwanamke ni kufuata maelezo ya Mwanaume tu
'
Hivi ndivyo ilivyo kwa kuwa uumbwaji wa mwanamke haukuwa kwaajili ya Mungu ila kwa ajili ya Mwanaume(Mwa 2:18)
'
Baada mwanamke kula tunda,haikuhesabika kosa kwa kuwa yeye hakuwa mhusika mkuu pale mpaka alipokula Mwanaume(Mwa 3:6)
'
Baada ya kukosa,Mungu aliposhuka Eden hakumuita mwanamke kwanza bali Mwanaume(Mwa 3:9)
'
Mungu alijua umuhimu wetu lakini sisi tulidharau,hii ni aibu,
'
Wanaume tulikabidhiwa bustani ya Eden tukashindwa kutii maagizo ya Mungu kwa ushawishi wa mwanamke,hii ni aibu
'
Na baada ya hapo Mungu alisema tutamtawala mwanamke,lakini leo tunatawaliwa,hii ni LAANA
'
Leo ni kama tumegeuka wanawake na tunashabikia wanawake kututawala,eti nafasi bungeni na serikalini ziwe sawa,hii ni LAANA
'
Iko siku tutajibu haya!!
Jibu mbona liko obvious kabisa? Hebu jiulize kwanza .... Je mwanamke ni mtu?
Kama jibu ni "ndio" basi mwanake pia aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Endapo jibu ni "sio" yaani mwanamke sio mtu basi vivyo hivyo yeye hakuumbwa kwa mfano wa Mungu.
Its just a question of simple reasoning!
Kina dada wachungaji na mama wachungaji FP Zion Daughter snowhite Kaunga gfsonwin cacico Smile na wadada wengine wote sogeeni huku huenda nyie mtamuelewa Eiyer mnielimishe na mimi. Binafsi ninashindwa kumuelewa maana naona anajaribu kuonesha kuwa mwanamke ni mtu dhalili na asiye na thamani hata mbele za Mungu.
Umeonaa ee hadi kwa lokole kumeibuka mfumo dume?Mfumo dume unatetewa kwa hoja ya nguvu.
mamangu mpenzi!
usikubali mtu asiyeelewa kitu akwambie ameelewa kiasi gani!ryt!!!
Eiyer sijakuelewa na kimsingi sijajue unataka kusema nini!
najribu kuunganisha 1 na 2 napata 8!
labda pengine wanawake hatukuwekewa ubongo wa kufikiri enh!???
mlipewa sehemu ya ubongo wetu.