mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
Umeonaa ee hadi kwa lokole kumeibuka mfumo dume?
Tena anautetea mpaka anatamani kulia! Lol!
Umeonaa ee hadi kwa lokole kumeibuka mfumo dume?
amempata na patina kamsaidia kusema m/mke kaumbwa mfano wa she**ni, wote wakapimwe akili kwanza kama wako okay ndo tuendelee na mada.
mlipewa sehemu ya ubongo wetu.
babangu alishaniponyesha siku nyingi sana na hii kitu inaitwa mfumo dume sijui mawazo ya kiume !so wala hawanipi shida saaaana!
Si kweli,
Amenukuu vifungu!
kama ndo hivyo kiri kuwa m/mke hajaumbwa mfano wa she**ni bali tamaa zako ndo zinakupeleka kubaya.
Kama ambavyo unatafsiri kwa namna utakavo wewe!Hakunukuu vifungu bali ametafsiri vifungu kwa namna atakavyo yeye.
wanaume mnakiuka amri za mungu mpk mmepitiliza, (accordng to u, naic ulimaanisha hata izo amri hazituhusu, siyo?) kama mungu alituumba ili tuwe wasaidiz wenu, basi tupeni nafasi tuwasaidie cz pengine mmechoka.
Mungu ameumba jambo jipya mwanamke atamlinda mwanaume'' chezea dola wewe? Aliwahurumia akaona hamuwezi kuwa juu ya mwanamke,akili na miili yenu mmeshindwa kuvitawala ndo muwaweze wanawake? Na mtajibu kweli. Wamaume mmekuwa mdebwedo hata majukumu yenu mnayakimbia, acha tuwatawale.

Hakunukuu vifungu bali ametafsiri vifungu kwa namna atakavyo yeye.